Recent content by JEMEDARI .H.

  1. J

    JamiiForums Tanzania Niuzie smartphone Nina tshs.200,000/=

    Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sheria Ya Elimu Na 5 Ya Mwaka 1978

    Wakuu Yeyote Mwenye Kuwa Nayo Pdf Ya Sheria Ya Elimu Na 5 Ya Mwaka 1978 naomba anisaidie.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nisaidie Kitabu Hiki.

    Jaman Mwenye Pdf Ya Kitabu Cha Chemistry For Secondary School Book 3 Written By Sedrick Magasi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Nikitaka Kupandia Dap Niweke Muda Gani? Siku 3 Kabla,2 Kabla Au Moja Kabla? Au Baada Ya Siku 7 Au Siku Hiyohiyo? Au Na Niweke Kiasi Gani?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Habari,baado Nahudumia Kitalu Jumapili Nitahamishia Shambani Sasa Shamba Nimekodi Na Huenda Nikalima Mara Moja Hii Tu,nimepata Samadi Ya Ng'ombe Ya Kutosha Sehemu Sasa Naomba Kujua Umuhimu Wake Kwenye Nyanya,inaongeza Mapato Kiasi Gan Na Kama Kuwekwa Inawekwaje Kwenye Mashimo Na Je Nikiweka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Hili Tatizo Limeonekana Baada Ya Kupuliza Ile Dawa Na Kuna Kitalu Sijapuliza Sijaona Hilo Tatizo Sasa Nitaka Kujua Kama Effect Ya Dawa Inaweza Fanya Miche Ilike?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Habari,nimepuli Victory 72wp(mancozeb 64% Metalaxyl 8%) Kwa Lengo La Kuua Fangasi Cha Ajabu Miche Mingi Imelala Nikiinua Na Kuangalia Pale Chini Ni Kama Inataka Kukatika Na Hivyo Inashindwa Kusimama.Sasa Je Ni Kwamba Imeshaharibiwa Na Dawa? Maana Ni Karibu Nusu Ya Yote Iko Hivyo Ukiuangalia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Hivi mkuu kuna tofauti ya nguvu kati ya ebony 72 wp na ivory 72 wp?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Samahani Naomba Unisaidie Mbegu Za Nyanya Za Hybrid Ambazo Zinastahimili Ukame(zisizohitaji) Maji Kwa Wingi Sana
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Samahani Natamani Nipande Nyanya Ndefu Kwenye Open Space Kama Je Inaweza Kufanya Vizuri Kama Zile Za Size Ya Kati? Au Kuna Madhara Au Faida Gani Kutumia Mbegu Ndefu Kama Anna Na Nyinginezo?
  11. J

  12. J

    Na Hiyo Duduba Inatumikaje? Naomba Msaada Wa Maelekezo Mkuu Na Jinsi Ya Kuitumia
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Pia Naomba Kuzifahamu Dawa Zingine Za Ukungu Ambazo Ninatibu Mbali Ya Zile Ulizozitaja Maana Zile Huku Hamna
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Mchwa Naweza Wadhibiti Vp Shamban? Maana Nimekatua Nataka Kupanda Nyanya Wakati Naweka Mabelt Nigundua Pana Mchwa Sana Nifanyaje? Au Hawana Athari?
Back
Top Bottom