Recent content by JEJUTz

  1. JEJUTz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bila cheti cha afya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  2. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

    Kila la kheri Urudi salama
  3. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

    Kabisa
  4. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  5. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

    Hili limenitokea jana tu! Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale. Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao. Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
  6. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Kwa namna fulani Ustaarabu katika jamii yetu hivi sasa ni tofauti na zamani

    Hatari Sana Dunia ya sasa
  7. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Kwa namna fulani Ustaarabu katika jamii yetu hivi sasa ni tofauti na zamani

    Hey wanajamvi heri ya msimu huu wa sikukuu na tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka, naamini pilika zinawaendea vizuri kabisa. Kwa sisi tunaopata nafasi ya kuzunguka sehemu tofauti tofauti ndani ya nchi hii,naweza kusema Watanzani angalau sasa tumekuwa wastaarabu. Zamani ulikuwa ukiingia maeneo ya...
  8. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Kushabikia vita vinavyoendelea huko Mashariki ya Kati ni kukengeuka

    Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu! Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini kitu ambacho si kweli.Ukiingia mitandaoni watu wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa vita...
  9. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

    😂😂😂😂
  10. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

    Wewe 😂😂😂
  11. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

    Duuuuh ! Wengine Huwa majini hawapendi
  12. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

    Hiyo ni Kali Sana
Back
Top Bottom