Recent content by jeingata

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natumia mpaka vumbi la kongo lakini tatizo langu liko palipale, mke hafiki kileleni

    Itakuwa unaendesha treni. but ushauri sex huwa kwa asilimia kubwa inategemea mindset yako kama unajiona mnyonge huwez perfom tuliza akili amini unaweza atafika tu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tusiendelee kupiga kelele kuhusu Chatto!

    Mi binafsi nilishamsahau tuvumilie amalize muda wake asepe huwez kumbadilisha mtu wa namna hii njia bora ya kudeal na watu kama hawa ni kujifanya unamkubali unampenda ila moyoni unafanya yako. kikubwa ni kuomba ajaye asiwe siambiliki kama huyu.
Back
Top Bottom