Recent content by jefuole

  1. J

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Hilo la Dr Slaa limeshapita na sitambui alichoongea, lakini kama TCRA watakaa kimya juu ya Star Tv kwa kile kipande, watasababisha ugumu kwenye kutekeleza adhabu yake maana wananchi ndio wanaangalia mnachofanya.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

    Slaa hana ushahidi wa mambo ila anatumia njia moja ya vitisho vya ushahidi, sasa hatutaki na ushahidi maana ameshindwa kumtaja mbaya wetu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Lowasa, mabadiliko........ Mabadiliko, Lowasa hapingwi na wazalendo
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini CCM Inango'ka?

    "Tanzania mpya inakuja" sauti hii wanajamvi ina nipa nguvu ya kwenda mbele na kupigania mabadiliko.CCM Imeng'oka tayari
  5. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    Nafurahia maana hayo ni maandishi tu lakini hata mioyo yao inatamani mabadiliko, kama ilivyo mwaka huu, sare ni kijani, kadi ni kijani lakini kura zote UKAWA. Hakuna kijana anayeipenda CCM, tukutane October CCM kikiwa ni chama cha upinzani.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete ataka kukiangusha chama tena kwa kumbeba January Makamba

    Kaleteni campaign manager wa Obama, mweke hapo mbele ya watanzania, ongeza na goli mkono, kadi zinazoandikwa baada ya zoezi kuisha, jumlisha na vitisho vyote mnavyofahamu, mwisho wa siku Lowassa atashinda kwa asilimia 64.
Back
Top Bottom