Habari wana JFs,
Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake.
Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...

Nisaidie hapo kwenye ubomu nifahamu ni kwenye kitu gani kwa kila gari ili tufanye comparison vizuri. Na mfano wa gari ipi ya umeme kutoka China ni bora tofauti na izo
Shukrani maelezo niliyokua nataka ni kama haya sema hujagusia upande durability na spare parts ipi ina changamoto sana na ya kukwepa kwa mtu anayeanza kumiliki ndiga
Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.