Siamini jamani kwa Serikali inayojinadi kutoa elimu bure kutoa tamko kama hili . . . ! Kuna haja gani ya kugharamia mitihani ya upimaji? tafadhali Ndalichako na wenzako - tunawaheshimu sana kama wataalamu wa elimu na mmepewa dhamana ya kujenga na kuimarisha elimu. Kwa nini mnaburuzwa na matakwa...
Hii inaonyesha jinsi jamii inavyokosa elimu ya uraia na usalama barabarani. Msemo wa "KUTOJUA SHERIA SIO UTETEZI" umepitwa na wakati. Mimi ninajiaminisha kuwa kati ya hayo makosa ya ndani ya siku 8, zaidi ya asilimia 60 ni kwa ajili ya watu hawajui wanachokifanya ni kosa. Serikali hili ni jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.