ninafikiria sana kuhusiana na hichi ulichoandika hapa na kuona ni jinsi gani ulivyo mweupe kichwani. kutoka sehemu nasari alipovamiwa mpaka mjini nauli ni sh 500. je ulitaka ampe mwananchi yupi? jaribu kufikiria mambo makubwa na yenyetija kwa jamii na sio mambo ambayo ni aibu kwa mtu mzima kama...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kimeokotwa kitambulisho cha taifa maeneo ya KNCU MOSHI MJINI, JIRANI NA PUB ALBERTO.
Kwa yeyote anayemfahamu au mwenye taarifa ya muhusika awasiliane na mimi. Jina lililopo kwenye kitambulisho ni LEVINI PETER TLUWAY, JINSIA, MWANAUME
nashukuru pia kwa kuwawekea hii video ili waweze kuona je hao nao wamefika au hapafikiki! ila sio watu wote wanaweza kukabiliana na hali ya hewa iliyopo hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
haya yalikua maandalizi ya uwanja wakuzea mpira,juu kabisa ya mlima. mkiangalia hizi picha kwa umakini mtaona ndege ikiwa juu, hiyo ndege ni ya Ethiopian airlines, haionekani vizuri sana kutokana na mwanga wa jua.
Sent using Jamii Forums mobile app
pia nitawawekea hapa na picha za ndege ya Ethiopian airlines niliyofanikiwa kuipiga ikiwa inakatiza hili eneo ili kuondoa ubishi wa ndege kua haziwezi kukatiza hili eneo
Sent using Jamii Forums mobile app
NILIAHIDI NITAKAPOKWENDA TENA NITAWALETEA PICHA NIKIWA ENEO LA SHIMO KAMA MTOA MADA ALIVYOULIZA, nafikiri sasa ubishi utakua umeishia hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
pia waweza kuja inbox tukapeana mawasiliano kwani wapo pia ambao wamejitokeza na wanahitaji kwenda. so inawezekana tukafanya jambo zuri zaidi na kwa upana zaidi.asante
meney9 karibu sana Kilimanjaro. ila ningependa kukujulisha kua july nafasi itakua haba sana kwangu mkuu. ningeomba kama mtajiandaa pole pole mpaka mwezi wa 10 tunaweza kufanya jambo zuri zaidi ndugu yangu. samahani sana kwa hilo ndugu yangu. nakuahidi mtakapokua tayari mnijulishe ili niweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.