Daah mkuu umeongea as if makalio ni kitu cha thamani zaid ya Oxygen.
Kwamba ukiwa nayo ni okay kuwa rude?
Huyo mdada ni very rude and ignorant.
Eti makalio yanatosha!Sasa kama makalio yanatosha mbona anateseka kwenye nyumba ya kupanga tena cheap ya maji kutoka 3 times a week tena ya kukaa wengi...
Sijui jins yakuelezea zaid ili uelewe mkuu..
Hiyo sio Villa ya kawaida,ni mansion.
Kwa mtu yeyote anayejenga mara kwa mara akiona hiyo picha ni rahisi tu kukadiria gharama
Yote kwa yote mtoa mada ataamua mwenyewe kuamin kuwa atajenga kwa 40M, 70M , 150 M, 250M au 400 M.
Mi namtakia tu kila...
Mkuu hiyo ni mansion.
Bila hata ya kujua vipimo najua Haiwezi kuwa na udogo wa kujengwa kwa cost chini ya 250M.
Akilazimisha gharama zishushe atajenga ila atakua amejenga kitu kingine.
Najua ninachoongea mkuu sikurupuki.
Why not 150M simply because hiyo ni mansion,sio nyumba ya kawaida.Hilo ni...
Nimeelewa vizuri kuwa ni one storey ila labda uchakachue ila ukiitende haki iwe na hadhi kama.kwa hiyo picha hasa kwenye finishing inafika amin mkuu.
Hapo kuezeka tu ukichukua bati/vigae quality kama.za ALAF na mbao uchukue zile za dawa kweli sio zile feki za bugurun hiyo roofing tu peke.yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.