KUTANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MONDULI KWA TIKETI YA CHADEMA. Wasifu wangu. Ndugu Wananchi wa Monduli. Ninaitwa Patrick Ngala Olemongi. Nimezaliwa miaka 34 iliyopita, nina ishi katika kijiji cha Moita Bwawani, kata ya Moita, Tarafa ya Kisongo. Nina mke mmoja na mtoto...
Ndugu zangu wanaJF, naomba nijitambulishe zaidi kwenu,
Mimi ndiye Paul Andrew Maganga.
Shule ya msingi nimesoma Nseda katika kata ya Nseda tarafa ya Urambo.1992-1998
Urambo sekondari 1999-2002
Mkwawa high school 2003-2005
University of dar es salaam 2005-2008.Bsc with educ.
University of Arusha...
Kufuatia ushindi mkubwa wa Chadema urambo mjini, kikiwemo kitongoji anachotoka waziri wa ushirikiano wa Afrika mashariki Mh:samwel sitta, imeripotiwa kuwa CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kupeleka pingamizi dhidi ya washindi wetu wote mahakamani. Moja ya vioja katika pingamizi hizo nikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.