Tatizo la ushoga kwetu Africa ni kwamba watu wanaliangalia kwa jicho la Yule ni mdhambi, mimi ni mtakatifu. Hili jambo linahitaji umakini na hekima. Kusema kuwa shoga auwawe kweli ni kukosa haki za msingi za ubinadamu. Ushoga kama ni dhambi, basi ni dhambi kama ilivyo kuiba, kuua, udikteita na...