Recent content by jean pierre oberoi

  1. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Mwanzo ulidai mm bado nampenda mke wangu na kwamba tutarudiana tu:- Majibu yangu yalilenga kwenye hoja yako hiyo kwamba haitatokea mm kurudiana nae Pili, hoja ya pesa:- Hii wala sio uongo, nimetumia pesa hizo hizo kuzalisha na hatimae kufanikiwa, hata kama nisingetumia pesa hizo bado...
  2. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Nilikua Nina maana yangu kubaki nae kwa wakati wote huo,. Tena maana kubwa tu Kulala nae sio shida, mama nadhan unajua kuwa sisi Wanaume nyeti zikishasimama unaweza kuingiza popote pale hata kama moyoni hakuna hisia, ndivyo ilivyokua kwangu mm, mwanamke kaja usiku kanivulia nguo, kachukua...
  3. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Naomba kujua maana ya hili jukwaa? Kwa uelewa wangu nimekuja sehemu sahihi Ndio maana ubaoni kumejaa mada za mapenzi na ndoa, topic zote zilizojaa hapa Leo ni binafsi kwa tafsiri yako maana zote karibu watu wanaeleza mambo yao, wasichana wao, wake zao, waume zao, n.k. lengo ni watu kupata...
  4. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Who needs ur advise friend? Anyway acha nikushauri urudie tena kusoma post am sure you have missed so many points Au kama umeelewa vizuri then unajaribu kupotosha kwa makusudi Ukirudi kusoma post tena zingatia haya ** mke ana kazi yenye mshahara sawa na mm mume, napoteza kazi, mke anabaki na...
  5. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Oooh sorry sikujua kama jukwaa hili linakataza kuleta mambo ya ndoa na mapenzi Pia sikujua kama wana jf wananifahamu kwa sura na majina, ningejua haya nisingefanya hivyo, i do apologize
  6. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Maana yake ni kwamba sitaanzisha vita ya kutaka kuondoka na mtoto, pia kwa yaliyotokea sina imani tena, na sina muda Wa masuala ya DNA kwa sasa, hayo yatanulikana mbele ya safari
  7. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Hilo la kucheki afya likikua la kwanza nilipomtangazia namuacha, mungu ananipenda nipo vizuri tu, miaka 2 nyuma nilipima pia wakati usaliti ukiendelea, usihofu
  8. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Maneno mazuri sana, hilo la kumuacha sio suala la mjadala tena, sasa hivi napokea pole tu na sio mjadala wa kumuacha
  9. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Amini kwamba sina Upendo tena na huyo mwanamke, sina chochote nacho feel moyoni juu yake, miaka yote minne niliyoishi nae huku tukifanya tendo la ndoa, yeye ndie siku zote anaanzisha kutaka kulala na Mimi, hivi kiongozi mwanamke akianza kukuchezea na kukunyonya nyeti hutasimamisha na utembee...
  10. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Kaka, kwa heshima na tahadhima niruhusu nipingane nawe, (1) nimekuja Jf Ku share nanyi ndugu zangu habari hii ili iwasaidie ktk ndoa zenu, i didn't come to seek advice from you guys, maana nimeshatekeleza 3/4 ya nilichoamua, imebaki robo tu, nayo ni kuamia kwangu, (2) nadhan unaifahamu...
  11. J

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Wapendwa wana JamiiForums nawasalimu, Baada ya kupoteza kazi yangu niliyumba sana, niliwaza nitaishije bila kazi hapa mjini, hata hivyo nilijipa moyo kwamba kwa kuwa wife ana kazi Basi mambo madogo madogo hayatasumbua wakati huo nami nitakua nakazana kutafuta kazi nyingine. Kumbe nilikua...
  12. J

    Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    Mm namsifu huyu jamaa kwa kweli, ni wazi kwamba hamuhitaji huyo mwanamke kwa ajili ya future, ni kustarehe tu
  13. J

    Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

    Na ww ungeomba uchi siku ya kwanza tu
  14. J

    "Mungu nijalie maisha yenye furaha", Kauli ya mchepuko

    Nafasi ni chache acha akina mama washirikiane
  15. J

    Wanaume acheni kulalamika

    Huu mjadala ni hatari
Back
Top Bottom