Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

tz2015

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
982
0
avatar289992_3.gif
Huyo dada kagundua mnafanana,
wakati yeye alikuwa anatafuta mwanaume wa kumtuliza.
 
neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,838
2,000
Ptuuuuuu

Aibu yakooooooo... Hata wewe...

Unapata hata udhubutu waku andika. Mario @work
 
Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,069
2,000
Aisee wanaume bwana! Kwa hiyo ulitaka vya bure ili umalizie nyumba yako wewe halafu umwache yeye kwenye mataa?? Hivi km huna mpango na mtu kwa nini mnampotezea muda?

Nani huwa anapenda vya bure? Nani alimpotezea mwenzake muda? Kwani wanaume muda haupotei?
 
Jul 30, 2015
8
0
Wewe mwanaume pumbavu kabisa , unalalamika nini sasa ondoka ondoka kuanzia leo usirudi tena na story za kibwege humu mpenda vya bure ukome kabisa
 
Clueless14

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,994
2,000
Nani huwa anapenda vya bure? Nani alimpotezea mwenzake muda? Kwani wanaume muda haupotei?

Kwa kesi ya huyu kama wanapotezeana muda basi wafanye kushea gharama iwe equal, asa jamaa analalamika anatakiwa kushea kodi, usikute hata msosi hanunui hadi mhusika akakereka. Yani full umarioo, ukila na kipofu mshike mkono, angedanganyia hata na grocery shopping za kizushi pengine ingekuwa story ingine.
 
Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,069
2,000
Kwa kesi ya huyu kama wanapotezeana muda basi wafanye kushea gharama iwe equal, asa jamaa analalamika anatakiwa kushea kodi, usikute hata msosi hanunui hadi mhusika akakereka. Yani full umarioo, ukila na kipofu mshike mkono, angedanganyia hata na grocery shopping za kizushi pengine ingekuwa story ingine.

Mwanaume na mwanamke wote wanamakosa. Unjaua kama jamaa alikubali kwenda angeuliza malipo ya kazi yake, kama hakuwa na mahali pa kula, kulala angesema hayo ndio yawe malipo kwa kazi. mwanamke naye angesema wazi anahitaji nini kutoka kwake. Not good idea to change rules in the middle of the game.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom