Recent content by JD VANCE

  1. J

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

    Business to Business ( B2B) na Business to Customer ( B2C) na Business to Government ( B2G).
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Million 8 nifanye biashara ya nafaka kwa njia ipi? Njia ninayowaza ni hii

    Ndio nami swali langu. Hakijibu ndio tumpe ushauri.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ewe mtumishi usisubiri pension, anza kuwekeza kwa ajili ya kesho yako

    Real estate vs Sesurity. Kwa Nchi zetu hizi za Africa bora kuwekeza kwenye real estate kuliko security.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kama umenunua Bajaji ya Milioni 20 ili upewe 20k kwa siku basi unafanya biashara kichaa

    Nunua maeneo mengine uje kuuza tena
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume; Hii imekaaje??

    Mtu mzima acha kusex na vijana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Droo ya robo fainali ya CAFCL & CAFCC itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha Alhamisi, Februari 20, 2025.

    Mambo ya Africa uko Doha wafata nini tena
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

    Kama inauma chomoa ndugu.usilazimishe mambo.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

    Mwambie kuimba ni kupokezana. Yeye amesahau mechi yake na Kolo.Refa hajafanya makosa ya kibindamu. Kama yupo huu ajue kama inamumaa achomoe tu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

    Mkuu unateseka ukiwa wapi dunia kubwa hii.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, hawa Africa Facts Zone wako accurate? Eti wanasema Yanga ina mashabiki milioni 35 na Simba ina mashabiki milioni 10

    Inawezekana. Kwa Yanga wamehesabia hadi marehem. Ila Simba wamehasabiwa walikuwa hai tu.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Una PhD unashindwa kutoka ndani kisa mapenzi?.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

    Hilo swala kunyima unyumba ni jambo la kikatili sawa na mtu ulipe ada then unaambiwa usifanye mtihani.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mabinti, kuna la kujifunza hapa

    Kala ujana sasa ajiandae na fainal ya uzeeni.
  14. J

    JamiiForums Tanzania CS sFaxien inayocheza na Simba kombe la Shirikisho, tumeijua leo

    Ameanza wa juu kabisa. Kwa hiyo kushuka chini kwa wengine rahisi sana.
Back
Top Bottom