Tatizo moja ni kwamba mtumishi wa Mungu kakobe sio kama watumishi wengi ambao wanajipendekeza ikulu kwenda kula futari yeye anaangalia mwenendo mzima wa taifa na mustakabali wa maendeleo kwa ujumla,angali jinsi mtumishi huyu alivyo pangua kuhusu walaka wa pengo,akapangua deci,akapangua hoja na...
Mlaleo kwani Bak kakosea nini alichikisema kina logic ndio uwezi kutoa boriti katika jicho la mwenzio wakati kwako kuna kibanzi ondoa kwako kwanza kisha ufuate kwa mwenzio. Sio mambo ya kibavicha kama unavyosema.kwani bomu la arusha alifanani na la kenya kwani kuna tofauti ya majeruwi wale wa...
Ccm wana jikaanga kwa mafuta yao wenyewe siku zote walikuwa wapi kulipa hayo madeni ya walimu,mie naona hapa kinana ametosheka na fedha za meno ya tembo ndio maana ameamua kuwakumbuka walimu ili aanze kutengeneza mazingira ya uchaguzi 2015.kinana atafute lingine sio hilo
Napenda kuwajulisha. Wale wote ambao wanataka kupata huduma kufanyiwa wiring katika nyumba zao kwenye viwanda n.k,nikiwa kama mkandarasi mwenye leseni namba 231 daraja C nina uzoefu katika kazi hii ya umeme.kwa ushauri,maoni wasiliana nami kwa namba zifuatazo 0713828240 au 078762264.mtaarifu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.