Recent content by jbernad2

  1. J

    TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

    Unapo zungumzia waandishi habar, Gigy Ni mwandishi?? Yule Ni msanii ambae alikodiwa tu kwenye tamashaTCRA iangalie upya adhabu yao
  2. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nashukuru Tatizo langu limepatiwa Ufumbuzi baada ya Kupiga Simu Huduma kwa wateja huko makao makuu. Asante Sana. Ila ushauri wangu kwenu Kuna haja ya kuwa na Generator la dharura katika ofisi za Tanesco Wilaya ili umeme ukikatika Huduma ziwe zinaendelea kutolewA. Asante Sana.
  3. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habar wakuu. Ni mteja wa Tanesco . Nimepata tatizo la kuunguliwa na Mita yangu Nashukuru Tanesco wameshughulikia haraka na nikafungiwa Mita Nyingine wiki iliyoisha. Sasa Ule Umeme Wa mwanzo umeisha, nikaenda Tanesco Leo siku ya tatu kuomba wanisajilie Mita wananiambia hakuna umeme. Ni kweli...
  4. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco miezi mi nne Sasa imekamilika bila kuletewa umeme. Aiseee inaleta shida Sana. Nawaomba Tanesco Ungeni Juhudi za Mweshimwa Rais Kwa vitendo ili kuendana na Kasi ya kuleta Maendeleo nchini. Yaani kiukweli sio sawa kabisa tunaomba umeme...
  5. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbona tukiweka hizo details zetu bado hakuna jipya.... Mnatupigia simu basi imetosha. Huu Sasa ni mwezi wa nne tangu tulipe, jamani tuna huo umeme
  6. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Tanesco Tanesco Tanescoooooooo, Jamani Tumelipa umeme mwezi wanne huuu. Hakuna kufungiwa umeme wala Nini???
  7. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante nimepigiwa simu leo baada ya kuandika katika ukurasa huu. Ila ninachoomba huduma mtuwaishie kwani kukaa bila umeme ni kero kubwa.
  8. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Eneo. ...... Itunge Wilaya .... Kyela Tarehe. 20.04.2020 Kiasi lipwa ni 337,639/= Naombeni hiyo huduma
  9. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Tafadhalini jaman naomba huduma ya umeme nyumbani kwangu. Kama ni pesa nimekwisha kulipa yote unakwenda ofis zao kuuliza unaambiwa nguzo shida, Mara zitakuja hivi karibuni Ni nimwezi wa nne 4 bila taarifa kamili.
  10. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunasubiri umeme kwa muda sasa ukiuliza wanasema nguzo hazijafika.
  11. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Inategemea na umbali kutoka wapi Hadi wapi? Mteja tangu amelipa Hadi leo tayari ni mwezi wa pili na hakuna dalili.
  12. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kujua utaratibu, Kama mteja akilipia ili aingiziwe umeme huwa inachukua muda gani Hadi kuingiziwa umeme.?
  13. J

    Mh Spika kwa Maswali na majibu leo Katenda Haki Wizara ya Tamisemi

    Unakosea sana. Ustawi uko wapi acha janjajanja.
  14. J

    Wakulima wa Korosho watakiwa kuwa watulivu wakati Serikali ikitafuta wanunuzi

    Korosho korosho, Kokoa nako kumeanza , Mbaazi msimu uliopita..Wakulima wakulima...
Back
Top Bottom