INSIDER MAN
wapuuzi wa5 wasifanye watu 10,000 wakose uhondo!
Asante kwa kuamua kuimalizia story, andika yote uitupie episodes zote.
Ukikwama bando twaweza changia.
Kichwa yako laini saana, kama ulisoma vzr alisema $10,000 alimtajia mteja kisa hataki kumpa huduma! Akasema ni mbinu wanayoitumia kuwakataa baadhi ya wateja.
Pia ni asset sio assert.
Wewe sio mjasiliamali!
Kaskazini vijana hawaangalii kama wameoa au la linapokuja suala la fursa.
Kuna jamaa alikamata mzungu wake ambaye yupo vzr kiuchumi ikabidi amshirikishe mkewe, wakakubaliana! Kwa hy mzungu anajua jamaa hajaoa.
Uzuri akija Tanzania anakaa kama wiki 1 anarudi zake kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.