Recent content by JB Jr

  1. JB Jr

    Swali: Ni Mkoa gani CHADEMA hawana kesi/matatizo??

    Kwani CCM wanachama wake wote wana hati ya kusafiria??
  2. JB Jr

    Swali: Ni Mkoa gani CHADEMA hawana kesi/matatizo??

    Mkuu Ngendalikoma,hivi hapo Kigoma hawakumfungulia kesi Peter Serukamba kweli??hebu tafuta taarifa za uhakika kuhusu hilo
  3. JB Jr

    Swali: Ni Mkoa gani CHADEMA hawana kesi/matatizo??

    Mtwara kaka!!au una habari juu ya Chadema kufungua kesi/matatizo yoyote mkoa huo??
  4. JB Jr

    Kinana amburuza Msigwa kortini

    Wabeba SEMBE wakikamatwa hufikishwa mahakamani ila Wabeba NYARA za Serikali huwafikisha waliowataja mahakamani!!
  5. JB Jr

    Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!

    utakuja sikia huo mtambo umeibiwa siku si nyingi
  6. JB Jr

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    hili sasa ni janga la kitaifa,polisi kama malaria ni HAIKUBALIKI kila sehemu!!
Back
Top Bottom