Recent content by Jazz Jeff

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

    Mi sion tatizo hapo mana the girl make him say hallelujah kwamba mungu asifiwe kwa kumuumba au kwa sababu yoyote ile aloimaanisha bado anmsifu mungu kwa hilo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

    Wabongo kazi yetu ni kulalamika tu lakini je mlimpigia kura mana hapo ni wazi kura hazikutosha sana sana mlipigia kura waliotoka kwenye mikoa yenu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa kusema "Serikali yangu" ni sahihi?

    Waziri mkuu kama kiongozi mkuu na msimamizi mkuu wa shughuli za serikali kupitia wizara zote yupo sahihi kusema hivyo.
Back
Top Bottom