https://chat.whatsapp.com/FNaLUaOBWgq5MO5wBc44oQ?mode=ac_t
🌱Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.
🌱Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.
🌱Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.
😂😂😂wewe ndo akili Huna kabisa sijaanza kupost ili kuuza shamba hili leo naomba tembea post zangu kwanza pili
https://chat.whatsapp.com/FNaLUaOBWgq5MO5wBc44oQ?mode=ac_t
Hiyo nilink ya group la mitiki lenye wafuasi 120 ninaloliendesha mimi tatu nimekutumia screenshot za miti yangu hatua za...
Shamba la mitiki LINAUZWA
Mteja ambae uko serious
Piga simu tuzungumze
0615636384
Miti iko 1700
Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza
Karibu umalizie palipo
Baki.
Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako
Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
0615636384
0653172333
Shamba lipo Tanga Korogwe
ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako
miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.