Recent content by jayone

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke muislam

    Ndugu zangu waislamu nimeamua kurudi huku tena ili kuweza kufunga mwaka vizur binafsi natafuta mke wa kiislamu asizidi miaka 35 mengine tutajadiliana Mimi ni kijana wa kiislamu ninaependa uislamu wangu na ninafanya kazi taasisi binafsi umri 33 KARIBU WOTE
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Wew muongo wakat watu wamesaini laki tano wewe unasema 495000 unapotosha
  3. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

    Duuuuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuchelewa kuoa

    Noted @hakuomba kuzaliwa umemaliza kila kitu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Asalam aleikum

    Karibu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuchelewa kuoa

    Nami nichangie kwanza kiukweli jitahidi uoe ukiwa na kitu yaani kiuchumi uwe vizur ndoa haitaji story telling inahitaji vitendo pia haya maneno ni ya kujifariji kuwa ndoa sio pesa sasa huyo mke utamtunzaje na huna pesa kitakachotokea ukioa na huna pesa mke utashindwa kumtunza atachoka sana tena...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuchelewa kuoa

    Kweli kabisa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 za kwanini bado upo single

    Usiogope pambana
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 za kwanini bado upo single

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  10. J

    JamiiForums Tanzania NBS mtufikirie tuliofanyakazi za kusajili anuani za makazi

    Point taken
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

    Umejisemea ukweli[emoji28][emoji28]
  12. J

    JamiiForums Tanzania Asalam aleikum

    Asante
  13. J

    JamiiForums Tanzania Asalam aleikum

    Asante sana ndugu yangu insha Allah Mungu ataweka wepesi ili nami nipate nusu ya sini[emoji120]
  14. J

    JamiiForums Tanzania Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Umenigusa mimi kabisa no coment jamani hii coment ni ya kweli ukisumbuka sana utafirisika sana maama UNALZIMISHA SANA MAPENZI
  15. J

    JamiiForums Tanzania Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Duuu una moyo mgumu yaani hujawaza tu kuwa utapoteza vingi yaani kila siku unamuwaza mtu mmoja tu labda niseme haya maneno yako ni mazuri ila ukiwa maskini unaweza ukafirisika kabisa yaani pesa zote unazotafuta zitaenda kwa mtu asiekupenda nafikir hakikisha unaweka kikomo tongoza ndani ya miezi...
Back
Top Bottom