Huku idadi ya wagonjwa waliopona Corona kufikia28 baada ya wagonjwa wengine 6 kupona na kuruhusiwa kutoka hospitali leo hii.
Rais Museveni wa Uganda amesema kuwa“Nawapongeza madaktari na wahudumu wote wa afya Uganda kwa kazi nzuri, mmeweza kupambana na corona huku wenyewe mkiwa salama pia...
Dereva huyo wa lorry kutoka Tanzania ambaye vipimo vilionesha kuwa ni positive kwa Corona atarudishwa Tanzania kwa ajili ya matibabu. Aliyasema hayo Bi. Robinah Nabbanja, Waziri wa Afya mwenye dhamana dhidi ya Corona.
Naye Dr Edward Muwanga, Afisa Afya wa wilaya Kyotera alisema kuwa sampuli za...
Nenda snake park Arusha wapo nyoka wa kila aina hadi ambao hawapatikani Tanzania lakini ukirudi home jiandae kulala jicho moja wazi huku taa imewaka
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh ila hapo kwenye uref wake m nadhan mkuu ume2pga kamba sm 220 had 320 mmh kama mita 2 had 3 ila m namjua kama nyoka mpole ambaye hapend kelele wala kuchukizwa huwa n nadra sana kuuma na anauma pale anapozibiwa njia yake(kwan huwa wanapita njia moja kila siku) au utakapompigia kelele au...
mi nilivyoona umeandika kakamatwa nkajua kakamatwa na polisi sa kuja kusoma habar tofauti kabisa kama coca na fanta jarbu kuwa unalink na habar na kchwa cha habar n hayo tu mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.