Recent content by Jaymsamaha

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Shikamooo azam tv... Hakika mko vizuri na mmekuja kamili na mmejipanga kwa ushindani wa kibiashara.... Shikamooo azam tv
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    mleta uzi kawaambie walio kutuma Jamaa wamestuka.. Hawadanyiki NG'OOO
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    kwanza LOWASSA akija hapo huo Mdahalo mtaufanyia Uwanja wa Taifa... hilo Nyomi mtali accomodate vipi nyie!!!??.... Tulieni Raisi amalize kampeni zake Nyie.. mbona POVU jingi!!???.... huhuhuhuhuhuhuhu...Nyie si mmemaliza... ngoja akawatie Adabu Mbeya sasa.... VIVA LOWASSA
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    na kwakuwa lengo lenu sio mdahalo ni kumuumbua Raisi wetu ndio maana kadhihilisha ana akili kuliko ninyi wenye akili na maslahi ya kichama na sio taifa.... Malizia kampeni baba tar25 tukusindikize kwa kishindo Kuapishwa TAIFA.. KIKWETE ALIKIMBIA MIDAHAKO YOTEEE NA ALISHINDA.... POLENI MAGAMBA...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli achapia,amtaka JK apumzike mahali pema peponi

    hahahahahahahahaha... Mzee Kadata huyooo
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dah! Matumaini ya Lowassa kuwa rais wa Tanzania yanapungua siku baada ya siku

    Ka Uzi kako kanadhihirisha unakipaji cha Komedi... Nenda Kajiunge KANJANJA.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya ziara ya Lowassa, Vincent Nyerere arudi jimboni kwa kishindo!

    sasa kama unawafahamu unadhani ndo watakuooneeni huruma... hahahahahaha... Tulia dawa ikuingie.. maccm Mshapoteza Jimbo hapo.. VIVA VICENT NYERERE VIVA LOWASSA. VIVA UKAWA
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA muwe wa kweli kwa kauli hii ya Mwl Nyerere

    Duuuuuuh... maccm Povu linawatoookaa aiseee... ila hatuwaonei huruma ng'ooo.... 25 Oct Fisiem ouuuut...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Lowassa ni kuendeleza utawala wa Kikwete

    We Nenda kachukue kaposho kako kabla mabosi wako hawajaona Uzi wako umekosa mvuto humu... Mtatoa Povu sana mwaka huu.. . VIVA LOWASSA.... VIVA UKAWA..
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya miaka 16 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Tunamuenzi kwa kutoa ELIMU BURE NA BORA kama alivyofanya... na kuwang'oa Maccm kama akivyotabiri MABADILIKO.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa kuitikisa kuondoka CCM sio akina Mwapachu

    ccm mna tabu mwaka huu.... Povu linawatoookaa... tulieni dawa iwaingie... KAMA HAWAJAWATIKISA MBONA MNAHANGAIKA KUANDIKA ANDIKA VI-UZI UZI HUMU.... Hakuna kuwaonea Huruma ccm 25,Oct Ouuuut....
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa utapitiaje mikataba uliyoingia mwenyewe na Sumaye? Usituzingue!

    mtoa uzi pili pili ya shamba ya kuwashia nn. ?!!!!.. Yetu tuachie Zungumza ya kwenu na Kufuli lenu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Lowassa aliwalipa vijana kudeki barabara Musoma na Mwanza

    huu uzi wa kipuuzi... Leo ccm ndo imekuwa ya kulalamika kuhusu watu kulipwa!!!!!!!!... Msijitilishe huruma apa.. mwaka huu lazima msepe... hatuwaonei huruma ng'ooo.. tar 25 Oct Ouuuut.... Olesendeka leo Anajitilisha huruma..... njoni mtulipe na nyie mbona si ma-Escrow....huhuhuhuhuhuhu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na mgombea nimemjibu hivi!

    kaombe kazi kwa kina Joti una kipaji cha Komedi
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yupi ni Ripota Bora wa Habari za Uchaguzi (Kampeni)??

    Spencer Lameck + Jamira Omary to me wameshika no 1...but kwa Mbwembwe SHIKAMOOO JAMIRA OMARY
Back
Top Bottom