Recent content by jaymab

  1. J

    Du hata siamini naota au live nisaidieni kama ni live basi kimbembe mwaka huu, kweli wameisoma

    Magufuli kwanza hata yeye alikiri kwa kinywa chake kuwa alijaribu kuchukua fomu bahati mbaya ndo hivyo zali la mentali ila hana hobby ya uongoz lowassa nadhana toka enzi a nyerere
  2. J

    Lowassa apotezwa

    Mtaisomaaa eti nyomi nani akatae hela wew mumefirisika kiakili MAFIEM
  3. J

    Lowassa apotezwa

    Mbona hamsemi wanaohama kwenu hala mwenye clip yoyote watu wakisomba ukawa watume ila zipo nyingi za mafusiemu halamnasenma eti………… toeni ushuzi wenu hapaaa
  4. J

    Du hata siamini naota au live nisaidieni kama ni live basi kimbembe mwaka huu, kweli wameisoma

    Ushuziiiiiiiii tyuuuuuu sasa mi nipo huko aliko kuwa nipe namba zako nikutumie video alizo kuwa akisomba watu na magarii halafu eti unaona ni miujiza nyooooo
  5. J

    Bendera za CCM zaiteka Arusha

    Yani kweli fisiem uwezo wa kufikiri ni kama kuku yani unasema eti bendela zimeteka yani akili hamna aiseeee poleni ila mumchelewaa
  6. J

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Mimi najua fungu lilitengwa la watu mtandaoni kuchafuaaa hatutishiki na hatubadiliki ng'ooooo
  7. J

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

    Kuna oloto ktk bongo za mafisiem Lowassa umeshasikia kaanguka jukwaani?? kama kiweteeee ame poteza hata cku moja kufanya kampeni? Mi ningekuwa Mungu ninge fanya ajabu kwa mafisiem halafu nimegundua kituuu wote wanao lilia fisiem mama,baba,au ndugu yoyote ni wenye viti wa mtaa wengine wazururaji...
  8. J

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

    Ukiingia kwenyw blog ya chadema utakuta ratiba zote za kampeni kaka fisiem huu ni wao wataubebaaa aiseee
Back
Top Bottom