Recent content by Jaylin

  1. Jaylin

    Kwa mwanamke anayejielewa

    Umejitahidi kuweka ombi lako clear, kama ni kweli uyasemayo, Mungu akusaidie kumpata huyo unayemhitaji.
  2. Jaylin

    Mpenzi wa kike wanted

    kila la heri
  3. Jaylin

    Natafuta mwanamke wa kuanzisha nae familia

    Duh! ngoja tusubiri mtoa maada ajibu
  4. Jaylin

    Huwezi pata kila kitu maishani

    kweli kabisa, na Mungu hutupa tunachostahili tu.
  5. Jaylin

    Alisema hawezi kunioa bila mimba, nimebeba hakunioa, nabadili namba ya simu

    Hongera kwa kupata mtoto, kwani kuna watu wanatafuta hata kuwa na mtoto lakini hawajajaaliwa. Muombe Mungu akusaidie umlee mtoto wako vyema na hata siku akimtaka baba yake usimdanganye mwambie alipo usije fikiria kulipa kisasi. Mungu yupo na anasikia na anatenda pia.
  6. Jaylin

    Je, Wanayofanya wanawake hawa ni sawa?

    Mungu turehemu
Back
Top Bottom