Recent content by jay_samuel_dunstan

  1. J

    Msaada wa ndugu Samsung s6 Not registered on NETWORK

    Okey! Naje nikitaka kufanya hvyo, yaan kununua sasa nafanyaje...?
  2. J

    Msaada wa ndugu Samsung s6 Not registered on NETWORK

    Samsung hizi hazijaandikwa IMEI Kwanje ila kwa ndani ipo
  3. J

    Msaada wa ndugu Samsung s6 Not registered on NETWORK

    Daah! S6 g920f nazinginezo hajiandikwa IMEI kwenye kwa nje , ila kwa ndani hii IMEI ni
  4. J

    Msaada wa ndugu Samsung s6 Not registered on NETWORK

    Ni kwamba nikibonyeza hzo code ina pop up hyo hyo dialog NOT REGISTERED ON NETWORK
  5. J

    Msaada wa ndugu Samsung s6 Not registered on NETWORK

    Ila kuna uhakika wa kupona kwema maana mpaka imeanza kata tamaa sasa
  6. J

    Msaada wa ndugu Samsung s6 Not registered on NETWORK

    Nina-Samsung Galaxy S6 g920F baada ya ku upgrade OS kutoka 6.1 hadi 7.0, kwakutumia Odin3, network Inasumbua inaniambi NOT REGISTERED ON NETWORK, simu hazitoki, yaani hata salio siweziuliza.
  7. J

    Msaada: Nina samsung galaxy s6 SM-G920F imestuck

    Natumia Odin 3, kila nikijaribu ku flash inaenda then inaniandikia Failed
  8. J

    Msaada: Nina samsung galaxy s6 SM-G920F imestuck

    Nikiingia kwenye download mode cha kwanza kuniletea ni model number ambayo ni SM G920F, mstari unaofwata inaandika samsung offically and rom ipo customize
  9. J

    Msaada: Nina samsung galaxy s6 SM-G920F imestuck

    Vipi kuhusu Baseband maana siijui or na download yoyote?
  10. J

    Msaada: Nina samsung galaxy s6 SM-G920F imestuck

    Wadau tafadhali, Ninahitaji msaada simu yangu imeganda hapo then nimejaribu sana kudownload firmware zake nyingi kwenye site ya samsung ila bado sijapata ambayo inaingiliana na hii. Naomba msaada nifanyeje ili niweze jua file sahihi la hii simu ili niweze download?
  11. J

    Guyz msaada je maweza je fanya Installition ya Adobe master collection package on Linux Os (Ubuntu)

    Msaada je kunauwezekano wa ku install adobe master master collection kwenye Linux especially kwenye ubuntu or kuna link yoyote ile naweza pata setup za Adobe for Linux Os.
  12. J

    Msaada; Je Vyuo vya serekali vinavyotoa computer science

    Tafadhali ningependa kufahamu ni vyuo vipi vya serekali hapa Dar es Salaam vinavyotoa kozi ya computer science and IT.
Back
Top Bottom