Recent content by jay-mc

  1. jay-mc

    KIAMA KWA MAGAIDI: Eneo la kuwanyongea Magaidi laandaliwa huko Israel

    Magaidi ni Israel tena ni mashetani ambao tunaishi nao kwenye dunia ya sasa we endelea kupumbazwa na propaganda za media za nchi za magharibi
  2. jay-mc

    Ripoti za uwezekano wa vita kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza

    Huu mtanange nausubiri kwa hamu sana tuone jinsi mtu mzima anavyo dharilika dunia kishuhudia 😃😃
  3. jay-mc

    Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Vibaya mno dunia haitoamini kwa watakacho kishuhudia safari muajemi kachafukwa marekan kama anajiamini yeye ndio JAMBAZI la dunia kwa ujiita super power ajarib tu kushambulia iran huo ndo utakuwa mwazo wa kufutwa kwa taifa la kigaid na la kishetani srael kwenye uso wa dunia na ndio mwanzo...
  4. jay-mc

    Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

    Tena huyo gaidi na mtekaji marekan Tena iran anasubili tu huyo gaidi na mtekaji marekan ajichanganye ndio atakapojua iran sio Venezuela,libya wala iraq safari hii atapigwa kama ngoma😃😃
  5. jay-mc

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sijaupata ndugu kama wewe umeupata nitumie
  6. jay-mc

    Radio Deutsche Welle imekuwa Radio ovyo kuwahi kutokea. Yatangaza Mbowe kusitisha maandamano

    Dw,bbc,cnn,sky news,France 24,fox news ni vyombo vya habari vya ovyo vya magharibi kuwahi kutokea kwenye hii sayari ya dunia vyenye lengo la kusambaza propaganda za uongo kwa lengo la kuendeleza ukoloni mambo leo na kuwanufaisha kisisa mabeberu na vibaraka wao kutimiza lengo lao la kuendelea...
  7. jay-mc

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nautafuta sana wimbo huu kama umeupata nitumie ndugu
  8. jay-mc

    Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Pia mkumbushe kuwa hakuna taifa linaitwa Israel !bali kuna Palestine hiyo Israel iliyopo sasa imeptikana kwa kuwaua wapalestina na kuchukua maeneo yao kibabe toka mwaka 1948 hiyo Israel ni wavamizi wa ardhi ya wapalestina ila Palestine ikijitahidi kurudisha ardhi yao wanaitwa magaidi.
  9. jay-mc

    Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Naunga mkono hoja!tatizo marekani na nchi za magharibi walifaulu ku brainwash dunia kuwa kila kitu bora na kizuri vinatoka kwao kitu ambacho si kweli kuna mataifa mengi yameizipita hizo nchi kiuchumi,technology,kielimimu n.k mfano nchi kama urusi,china n.k zipo mbele sana sema hazina kiki kama...
  10. jay-mc

    Kundi lingine la mamluki laanza kumgomea Putin, hawa kwanza ni NAZI kabisa

    Tena ni mpumbavu wa kiwango cha SGR
  11. jay-mc

    Nguvu ya Dola ya Marekani na Euro dhidi ya sarafu nyingine duniani

    Subiri uone dollar haina maisha marefu itakufa na ndo mwanzo wa dunia kuwa huru na kupata amani ya kudumu ufadhili wa magaidi utaisha.ya jayo yanafurahisha[emoji3]
  12. jay-mc

    Taliban yapiga marufuku wanawake wa Afghanistan kufanya kazi kwenye UN

    Safi sana serikali ya tariban hakuna kuruhusu wafanye kazi kwenye mashirika ya kimchongo kama UN.
  13. jay-mc

    Kama huna fikra za kikandamizaji, hauwezi kuishadadia Urusi

    Tena ni mjinga na brainwashed wa kiwango cha SGR
Back
Top Bottom