Recent content by JAY EXCLUSIVE

  1. JAY EXCLUSIVE

    Naombeni kushauriwa ni ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri?

    asante kwa ushauri bro mimi binafsi napenda IT sema ajira ndio mtihan
  2. JAY EXCLUSIVE

    Naombeni kushauriwa ni ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri?

    okey asante bro but nilikua ARTS je naweza somea afya....?
  3. JAY EXCLUSIVE

    Naombeni kushauriwa ni ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri?

    Mimi nimemeliza elimu ya secondari 2020 naitaji ku apply chuo nina ufaulu wa 4 ya 27, naombeni kushauriwa ni kozi gani yenye ajira? Ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri vile vile, naombeni msaada wa JF Nilikuwa nimshafanya uchaguzi nikasomee IT but nimegundua ajira ni ndogo kiteknolojia...
  4. JAY EXCLUSIVE

    Kozi yenye uhitaji kwenye soko la ajira

    ningependa kukutaarifu Kozi ya IT iko vizuri sana kwa kuajiriwa ata online ajira zipo ukiwa na elimu iliyoendelea
Back
Top Bottom