Recent content by jax200

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaingiza magari mapya kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama

    Wewe ni bwege hujui hata chama unatapika tu usichokijua
  2. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa BAWACHA Kata ya Kisutu, Elizabeth Mambosho amekamatwa na polisi akiwa na mtoto wake wa wiki 2

    Police wenyewe hata hawaaminiki tena ndo haohao wanatumika kuteka wakiulizwa wasema sio hao. Wanatumika kupekua nyumba za watu bila utaratibu wanasema sio wao. Wanauwa watu kwa risasi hadharani kama akwalina wanasema sio wao. Kiujumla wanotakiwa kusimamia sheris ndio wanaozvunja
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi aliyeripotiwa kupotea, Abdul Nondo apatikana Mafinga mkoani Iringa

    Huuu upumbavu ndani ya nchi yetu haufai kuvumilia kabisa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri CHADEMA itangaze kupumzika siasa kwa muda usiojulikana kama chama

    Ndugu yangu nakushauri ukapimwe akili na mkojo yamkini umechanganyikiwa bila kujijua.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

    Ndugu yangu wewe hujielewi na unatakiwa kupimwa akili
  6. J

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kwa hiyo mlitaka kumuua kwa sababu anaikosoa sana serikali. Pumbavu tumia akili kabla hujapost Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CHADEMA kuichafua serikali zimeshindwa

    Acha porojo mkuu maana hujui maana ya upinzani na lengo kuu co kuchafuana bali ni kurekebishana pale kwenye mapungufu. Mawazo yako ni finyu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Hakika hii nchi inapokwenda ni pabaya zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Mbunge Msukuma,Lissu anapaswa kujibiwa kisiasa na CCM

    Msukuma Bado ni mtoto sana katka siasa ndo mana Mara nyingi huropokaga tu kihisia pasipo judgement. Akikua atajitambua tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nakujibu mwanasheria Halima Mdee kama nilivyomjibu David Kafulila

    Wote huu ni upuuzi tu? Hakuna uzalendo zaidi ya siasa had kwa mambo ya kulikomboa taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu angeweza kuisaidia sana serikali katika suala la makinikia ya Acacia

    Unauthibitisho kijana au kuropoka tu. Kua bas kijana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    JamiiForums Tanzania ‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

    Ndugu yangu wewe Bado mtoto Mdogo sana kua Kwanza ndo ujue dunia. Akili yako haija komaa usiropokeropoke tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    JamiiForums Tanzania Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Tatizo wanaobeza watumishi kutoongezewa mishahara wao wanalipwa mishahara mikubwa na bonus za kutosha ila hawaangalii waliochini zaidi ya kuzidi kuwadidimiza Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wawekezaji wakichelewa kufanya mazungumzo na Serikali nitafunga migodi yote nchini

    Hana hiyo jeuri ni maneno tu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

    Tatizo hana SIFA za kiongozi bali ni mkuu wa nchi maana kiongozi Hua technical katika kuongea co kutamka tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom