jiunge na kwaya ya vijana itakusaidia kusahau pia jihusishe zaidi na mambo ya maendeleo na muda wako wa ziada utumie kufanya mazoezi na michezo. Ukifuata hayo hutamkumbuka tena na utapata mwingine tu.
Habari wana jamii forum.
Flash yangu aina ya ADATA kila nikiiweka kwenye inaniambia iko write protected so siwez format, weka kitu kipya..
Msaada please kwa alie na ujuzi jinsi ya kuondoa hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.