Recent content by Jason Smith

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uwanja wa Furahisha: Ibada ya kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Unaongelea walio mtesa hadi kuondoa uhai wake kwa ajili ya mambo ya kisiasa, au kina nani?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Usijali kuhusu hela Mwenyezi Mungu atakusaidia utazipata! Lakini hata hivyo sio aghali sana,, kwani kinacho fanya bei iwe kubwa ni urembo wenyekuchukua mbao nyingi na ukubwa wa sehemu! Kama unahitaji simple bei inakuwa afadhali! Ahsante, karibu sana!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Shukrani Masanja! Ndiyo ninayo workshop mkuu! Ndiyo, hapo juu kwenye picha, mstari wa chini kutoka kushoto picha ya pili na ya tatu, ni kazi ya mikono yangu! Pia nataraji kutupia picha zingine za kazi ninayoifanya sasa! Swala la ethics ni changamoto, ila najitahidi kupambana nalo kwa kiasi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Sawa mkuu ntafanya hivyo! Ahsante sana
  5. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Poa haina shaka mkuu! Karibu sana, ila usiite kipagale maana mdomo nao unaumba!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Mkuu Ahsante! Kikweli sio rahisi kuona jongoo akitokezea nyuma kwani mbao ina wamba kabisa ukutani na kunakuwa hakuna space yeyote kuruhusuu hivyo viumbe!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Ahsente
  8. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Tunachokikosa hapa nchini ni finishing tu mkuu! Tukiwa na mitambo na ujuzi wakuzipa rasilimali zetu ubora, tunaweza hata kuuza nje final product kuliko kuiagiza iliofanyiwa finishing nje!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Ahasante mkuu!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

    Ndugu wadau, kwakutumia aina yeyote ya mbao, nafanya finishing ya ndani kutumia mbao zilizotengenezwa kwa mashine maalum ya kazi hiyo! Bei hutokana na aina ya mbao mteja atakayo itaka itumike kwenye nyumba yake, na idadi ya mbao zitakazotumika kwa aina ya urembo! Nichek 068 281 8787 Karibuni...
Back
Top Bottom