Recent content by jasirihalali

  1. J

    Mkurugenzi mtendaji TPDC, Dkt. Mataragio asimamishwa kazi

    Sasa naskia ile ripoti ya CAG ambayo inasemekana ndio ilipelekea kusimamishwa kwa Mkurugenzi huyu imetoka, cha kushangaza ni kwamba hizo ishu hazijaongelewa hata kidogo na ripoti ni unqualified hivyo ni safi na hata katika kipengele cha manunuzi inaonekana taasisi hii imefuata utaratibu katika...
  2. J

    Mkurugenzi mtendaji TPDC, Dkt. Mataragio asimamishwa kazi

    Hivi kama alikiuka sheria ya manunuzi ya umma si ilipaswa PPRA kua imetoa ripoti yake kuhusu hilo suala? Na ni kipengele kipi hasa amekiuka huyu bwana? Lazima tujiulize maswali ya muhimu sana kabla ya ku conclude... Nachelea kusema kwamba ukisoma taarifa zilizotoka katika magazeti leo inaonesha...
  3. J

    Maajabu kumi ya TPDC chini ya kauli mbiu ya Hapa kazi tu

    Acha majungu Mtanzania wewe, unawezaje kututhibitishia hayo uyasemayo?! Facts ziko wapi? Haya yatakua maoni yako
  4. J

    Swali kuhusu bosi mpya wa TPDC

    Sioni kama kuna ukweli hapa...pesa kiasi hicho kinatumikaje kwa safari tu? Halafu kwa taratibu za kiserikali Mkurugenzi kama yule alisafiri lazima atoe taarifa kwa Katibu Mkuu wake na aeleze nia na madhumuni ya safari.... Kuhusu mradi wa LNG na mm naungana na huyu mwingine alieuliza kwani suala...
  5. J

    Simtengu achafua hali ya hewa TPDC

    Mi naona haya ni majungu tu...kufanya kazi kwa mazoea ndo kunapelekea kukataa mabadiliko, Serikali inataka kuisuka tpdc iwe kama makampuni mengine ya mafuta duniani eg Statoil, Petrobras n.k na katika kufanya hivyo lazima watu kadhaa wabadilishwe na wengine wapya wawekwe ili kusimamia...
  6. J

    Issue ya IPTL mchezo unachezwa hapa kuwakanganya watu:

    Asante kamanda...umetoa mwanga ila bado fedha ni za umma, TANESCO ambaye ndiye aliekuwa na kiasi kikubwa cha fedha ni shirika la Umma...hivyo kama maamuzi ya mahakama yameamua kua ukokotoaji wa capacity charge urudiwe na kuna dalili kua fedha zile zingelipwa kwa TANESCO basi Umma umeibiwa
Back
Top Bottom