Recent content by jashmoe32

  1. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Aluminium Kiwandani

    Habari, Naomba msada wa kufahamishwa sehemu ntayopata au kununua vifaa vya Aluminium Kwa Bei ya jumla. Ahsante
  2. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mabasi ya Mbeya to Tabora

    Habarini, Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au? Ahsante
  3. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Land forms na deed of gift tafadhalini

    Habari, Naomba msaada wa land form namba 29, namba 30, namba 35 na deed of gift katika soft copy. Ntashukuru sana kwa msaada
  4. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Fomu namba 69 na 70 za uthamini wa ardhi na makazi

    Ulifanikiwa kupata hizo form?
  5. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wapi naweza kupata Star Anise

    Habari, Mwenye kujua wapi naweza pata star anise na bei yake ntashukuru sana. Nimeambatanisha na picha na nahitaji liwe jekundu hivo hivo
  6. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Martial Arts Tegeta au Boko

    Karate
  7. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Martial Arts Tegeta au Boko

    Achana na keyboard warrior, mabaunsa wa vijiweni ila maishani ni tetea
  8. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Martial Arts Tegeta au Boko

    Hongera kwa wewe unayejua ila still upo upo tu
  9. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Martial Arts Tegeta au Boko

    Habari, Nlikua naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinazotoa huduma ya martial arts katika maeneo tajwa hapo juu na nitashukuru nikipata na msaada wa gharama. Asante
  10. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
  11. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania uPVC Panel

    Nahitaji kufahamishwa wapi naweza pata uPVC na alucobond panel na gharama zake zikoje na je dimensions ya hizi panel zikoje? Nitashukuru kwa msaada
  12. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Vyuma vya Turubai

    Habari, Nlikua naomba msaada kuhusiana na material/vyuma yanayofaa kutengenezea stendi ya tenti. Msaada kuhusiana na ni urefu gani ni sahihi na ni chuma au aluminium kinachofaa kwa ajili ya kuweka kama stendi. Je ni design gani nzuri ya kuweka, ile turubai yenye flat kwa juu au iliochongoka...
  13. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Ni kweli nimekosea ila way forward kuovercome hili jambo la kubonyea?
  14. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Habari, Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi. Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali. Ahsante
  15. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Ningeshauri kama ingependeza kungekua na usafiri wa kushare ambao watu wanaotoka Kimara mpaka Posta, Gongo la mboto mpaka Posta na Bunju mpaka Posta na kama gari ya watu watano then mnachangia hata elfu 5 na inakua ni nzuri zaidi
Back
Top Bottom