Recent content by jarson mwakyusa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji mnaongoza kwa madeni

    wewe nawe huna jipya toa takwimu kabisa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Pombe Magufuli, tangaza mali zako hadharani

    nendeni sektretariet ya maadili mtakuta kila kitu kuhusu mali zake
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

    ivi kusifu ubora wa kukusanya mapato ni shida?? zito ni mungu au ni usalama aliyepewa kazi ya kumfuatilia kitilya mpaka kujua kwa muda huo kashfA ambayo kitilya kaipata?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

    sasa mnashambulia zito au kitilya?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dogo Jembe: Usilete Udini na Dharau, Tanzania Siyo ya Baba'ko!

    naona msipoongea chochote kuhusu mh makamba jr ,jamii forum amna mada poleni sana............ mmeshaambiwa account iliingiliwa sasa mnaataka nini
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sefue: Tanzania kurudishiwa dola za kimarekani milioni 6 kutoka Stanbic Tanzania

    Uyu naye katajwa na katibu mkuu kiongozi ..... Du nashindwa amini
  7. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    unampajepressure makonda wakati ni graduate na pia anaendana na kasi ya magufuli poleni sana mekosa ya kuzungumza
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    zito mjanja apelekwi ovyoovyo sio zuzu amna jipya ukawa AAAA TEHHHH
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    uyo ndo raisi mwenye uswahili mwingi ona anavokimega chama sasaaaaaa kinamfia mikononi mwake
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hawa wenyeviti wa CCM wa Mikoa, Walitakiwa wajiuzulu kwanza NEC ndipo wamfuate Lowassa

    mwambie na nape ajiuzulu uenezi kwanza NDIPO AMFUATE MEMBE
  11. J

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    unahangaika NDO MAANA yeye akuridhishwa na kampuni iyo kumbuka waziri hasaini mkataba ,waziri mkuu haingii kwenye gorvement negotiating team ..hawa ndo ushauri wao ulisikilizwa... yeye mpaka mwisho alianza kuitilia mashaka iyo kampuni hata membe unalijui vizuri hili swala.... sasa yeye hataki...
  12. J

  13. J

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuwalipia nauli, malazi, chakula na posho wajumbe wa NEC na MM wa CCM

    zito alishindwa kutaja bungeni kwenye kinga ndo ataje hadharani ?? tunamjua alivo ndumila kuwili
  14. J

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuwalipia nauli, malazi, chakula na posho wajumbe wa NEC na MM wa CCM

    pole gongolamboto maana hata nafsi yako inakusuta ata uwe unaonga kiasi gani uwezi onga gharika ya watu kiasi kile wana mahaba tu na lowassa ata ukifumba macho, na masikio uzibe????????????///// jipange umekamilika
Back
Top Bottom