Recent content by jaquizoo

  1. J

    jaman nipo serious i need a man 28 to 30 ma self nipo 25

    kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi kuwa na mvullana na nikastay naye about a year n above tukaachana!nimekaa mda nafanya mambo yangu ss...
  2. J

    sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    thats true cjawapa nafasi ingawaje huyo mmoja alitaka asimamishe shughuli nzima akiwa kikao cha mwisho akaniomba nimshauri nikwambia it better to proceed with his programme may be GOd ha a goal with his marriadge before me bac allilia akajilaum na mpaka cku ya ndoa yake jion alinipigia cmu ni...
  3. J

    sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    acha fikra chafuu rafiki tupo kupata ushari na maoni kama mezoea kupopst ujinga na kukuruppuka cio wote kaka haya ni maisha na matatizo yapo so soma story nzima ndo uccoment!
  4. J

    sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    ahsante rafiki exactly i will work for ua advice since this time cio cri i need to get ma marrage with only n love one for me!thank nc and gud advice i catch it
  5. J

    sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    nipo kupokea maoni hata ww unishauri pia!nipovery serious!
  6. J

    sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    duuu hiyo kali am more than cute!but unaonekana nawe utanipasua kichwa accrding to ua weds !hujasimama wewe kama wewe bado !another advice
  7. J

    sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    Habari wana jf?am ouky but not happy kwa sababu napenda kupendwa na ninajua kupenda lakini nakuwa very dissappointed kila nikitongozwa nampata mme wa mtu au ndo yupo kwenye maandalizi yakuoa na kuniambia kwamba kwanini hakunijua mapema?ujue najickia vbaya kuwa naliliwa na mvulana kwa kujilaumu...
  8. J

    Mpenzi wangu ameathirika,nipeni ushauri nifanyaje ?.

    aisee hongeren kwa kucheck afya nina da pole xana kwa dda yangi hataki kabixa!kkubwa ucmtenge ila ucwe na uhucano nae kwa sababu ww bado kijana mdogo na maisha bado wko kuwa nae karibu na company ya kawaida.ila very xcory kwa kutahifisha penz lako la ukwweli omba utampta wa ukwel mwngne na yeye...
  9. J

    Dada yangu anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo chini baada ya habari

    yap coz yeye hayumo kwenye hata mtandao nmoja hapend
  10. J

    Mpenzi wangu hataki tu Do toka tukutane,NIMWACHE?

    mm nafikiri kwanza jiulize wewe unampernda huyo mdada?pili kwa lego lipi?kama ni ndoa haina haja ya kutaka uzini naye ss hv mda ukuifika mtafanya tuu coz apo hata uchumba bado,but ukiwa una mvumilia unatakiwa uwe naye karibu like weekend na cku nyingine pia ucmwache iddle mwisho atakuzoea then...
  11. J

    Dada yangu anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo chini baada ya habari

    yap hayumo wala hapendi hizi habari za mitaandao co watup?facebook wala twiter na mengineyo
  12. J

    Dada yangu anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo chini baada ya habari

    ahsanten wana jf napenda coz napata faraja on how to help ma csy!ucombee uishi na mtu awe na stress unaweza wewe ukakosa raha!mwenye maswli aulize anipe njia ya kuongea nae then nawajibu!alafu wanaouliza kuwa nakimbelembele hapana jamani wengine tueumbwa kuwasaidia watu so endelea kutoa view...
  13. J

    Dada yangu anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo chini baada ya habari

    nina dada yangu mmoja hajapima lakini anahisi amehathirika, namshauri akapime anaogopa ameachana na mpenzi wake kutokana na kumuacha peke yake mda mrefu kama hana mpenzi hivyo akahisi mpenzi wake alikuwa na mtu mwingine kwa sababu walikuwa mikoa tofauti.soon akampata mkaka mwingine ambaye...
Back
Top Bottom