Hata huyo Tz one huwa inatusaidia nini? Div & rule. Mwenye tik anaonekana babkubwa na unambiwa kwenye mtihani usimeache mtu akuigie atakufelisha ndio maana hata mtaani ni hivyo hivyo mtu akiwa na channels anabana kwa wengine, bure kabisa!
Nimesoma na washikaji wengi ila average ndio wana maisha...
Kuwekeza 100 millions kisa div 1 huu sio uwekezaji ni scam. Hiyo fedha (20mil) ungewekeza kwenye elimu ya nyumbani ukaanzisha mradi wa kilimo cha green house au ufugaji na akawa sehemu ya mradi angalau italeta maana.
Haya mambo bure kabisa, soma hata dunia nzima ila kama hutofuata kanuni za asili mf. Kingdom ya wealth usipo fuata kanuni zake utalialia tu mshahara ukichelewa. Nina uncle yangu yoko lushoto form 2 anafedha kunizidi anafanya kilimo cha karafuu, mdalasini na iliki anavuna mzigo wakutosha na...
Return ni kitu cha msingi zaidi. Kama unge save hiyo 4M utumie tu 1m nyingine humnunulie shama kila mwaka heka mbili na humpandie miti ya mbao kwa miaka 10.
Utakua umemwandalia mtaji wa shilingi ngapi?
Tukumbuke ukiona serikali inakomalia kitu ujue kuna upigaji mahali tu. Hakuna mtu...
Lugha inahitaji mazoezi ndugu. Na kingine ni mipango binafsi unayoweka kwa mwanao, unataka ajifunze lugha ya kingereza nini umemwandalia juu yakutumia hiyo lugha kwa maisha ya baadae mf. Labda unataka abobee kwenye secta ya utalii au sector ya uongoz n.k
Ni vyema tujue tunawafundisha nini kwa...
Lugha huitaji kuanzia nyumbani, vp ulishawahi kumfunza lugha naku ongea naye mara kwa mara na hapa tutizame lugha tu sio taaluma nyingine. Tutoe dhana ya lugha ya kingereza kua ni bora zaidi ya nyingine au kushindwa kwake kuongea kingereza ndio uwezo wake uone ni mdogo. Shule ya kweli huanza...
Connection ndio kila kitu, alfu kusema tafuta hela sio kama ni sahihi waweza kuivutia fedha naona hii ndio focus nzuri zaidi. Kutafuta kitu ni frequency ya utumwa 🔒 ni vyema kufuata canuni za fedha kama flow of currency.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.