Hii wanajamvi natumaini ni wazima wa afya.
Nina mtoto ana umri wa miaka 6, wa kiume ni kiboko kwa kukojoa kitandani yani hata kama nikimuamsha usiku bado atakojoa tu nimewaza hadi nikaona niandike hii thread lakini pia ni mtundu sana ukimwambia kitu dakika sekunde 30 anakuwa kasahau. Pia hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.