Recent content by January B

  1. J

    JamiiForums Tanzania Pen down business ideas zinazoendana na mazingira ya Bongo

    Habari zenu wakuu, Nimeona watu wengi wanahitaji busines ideas hivyo nimeanzisha uzi huu maalum kwa faida ya wote, naomba kama unawazo lolote la biashara unayoamini inalipa basi tupia hapa ili tuweze pata mawazo mbalimbali nakuyafanyia kazi. Mi naanza na haya; - Car wash - Kuuza dawa za nguvu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

    chukua karo yako ya advanced minus karo ya chuo chako kipya! Then ndio utakayolipiwa! Mfano kama advanced ulilipa karo 1300,000/- then chuo ni 1.2 then 1.3 - 1.2 utapewa laki tu. Advance karo ilkua milion 4, chuo ada mil 1, 4mil-1mil=3mil, umekosea mkuu, viceversa z true.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

    Kazi kuangalia spelling tu, huna vitu vingne vya kuangalia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kapima vipimo vyote hana tatizo lakini bado anaumwa

    Kapime tena vipimo vyote, kama hana ugonjwa mpeleke akaombewe... Na uchawi upo eti..
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye sifa hizo anitafute

    IFM first year, natafuta mshikaji wakushare nae chumba. 0756899479
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu heslb, mikopo kwa wanafunzi.

    Wakuu ningependa kufaham kuhusu heslb, ni lini watatoa majina ya wataopewa mkopo, na ni wapi naweza kuyapata, msaada tafadhali.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni Neema kwa Wanafunzi wote vyuo vikuu! Msipuuzie!

    Mkuu umepewa fungu nn...?
Back
Top Bottom