Recent content by Jantaly

  1. Jantaly

    Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    Hiyo njia ya Wahindi walioopo huku ni best way... unaacha hela zako unakuja pewa cash huku bongo uanze kupambana nazo... uzuri huku bado sio cashless kama huko ulipo... Ila wazo langu lingine kuliko lile la kutafuta ndugu 30 sijui 20 huku bongo then uwatumie (ambapo bank za huko watakudoubt)...
  2. Jantaly

    Kama Gari lilishawahi kukuaibisha, Pita hata utupe experience yako

    Hivi hizi manual staff gears patterns zake zimekaaje??? Natamani sana nizijue...
  3. Jantaly

    Naomba ushauri kuhusu 1995 MITSUBISHI Pajero Y-V26WG BM530139

    Sure, Mitsubishi pajero zile injini zake za petrol nadhani wanaita Gdi nasikia ukishaifungua tu wanadai performance yake shida... mi kuna jamaaa angu anayo alitia injini ya prado 1kz mzee ni balaaa... Gari ni durable koz tushapita nalo sehemu ngumu sana... Ila shida yake ni upatikanaji wa...
  4. Jantaly

    Naweza tumia Neutral kwenye mteremko?

    Aitumie N wakati wa kusukuma gari likiwa OFF
  5. Jantaly

    Safari yako ndefu kuendesha gari bila kupumzika ni ipi?

    So ulikuwa huli mzee??? Au ndo kwenye hizo gas stops???
Back
Top Bottom