Habar wana Jf naomba kuuliza hvi mwanaume anapokwambia mim bado nina hisia nawewe ila uamuzi ni wako mana napenda uwe na furaha kama unaona mim si mtu sahihi kwako nakuruhus kua na mwingne itaniuma mwanzoni ila badae nitazoea.
Kwel anakua anakupenda kwel au ndo anaogop tu kusema sikupend ila...
Dawa kiboko ya nzi majumbani katika mgahawa pia wale wa mabucha wote mnakaribishwa bei ni nafuu shilling 300 kwa pic moja na pic 50 ni 10000 badala ya 15000. Kwa mawasiliano piga namba 0783859598
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.