Recent content by Janik3232

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa Lori kwa dereva anayepita Ziba Igunga

    Dar, Tabata
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa Lori kwa dereva anayepita Ziba Igunga

    Asante, IT ni wapi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa Lori kwa dereva anayepita Ziba Igunga

    Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi watatu wa Marketing wanahitajika

    Mawasiliano yapo hapo mkuu, piga simu upewe utaratibu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi watatu wa Marketing wanahitajika

    Piga hiyo namba upewe maelekezo
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi watatu wa Marketing wanahitajika

    Mr. Discount Hardware ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa Tiles kwa bei ya jumla na rejareja, ofisi ipo Madale kisauke Tunahitaji wafanyakazi watatu wa marketing katika kampuni yetu. Wa kiume 2 na wa kike 1 Vigezo Awe na miaka kuanzia 23-27 Awe anajua mambo ya marketing Elimu kuanzia form 4...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kwenye kuattach signed pages

    Hata mimi imenitokea hiyo, ninafanya kazi stationery wote niliowafanyia zimeonyesha hivyo
Back
Top Bottom