Recent content by DogoWaNjombe

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) yazinduliwa Dar, kuangazia DIRA 2050

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa ubunifu wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz 2026) inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Dar yasitisha ada ya maegesho Mjini

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imebatilisha tangazo lililowataka waendesha bodaboda, bajaji na maguta kulipa ada ya maegesho ya Sh100,000 kwa miezi sita au Sh180,000 kwa mwaka, huku baadhi ya madereva wakilalamikia ukamataji na faini ya Sh70,000 wanazodai kukutana nazo wanapoingia katikati...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ado, Mpina, Wakili Maduhu Wakishiriki Maadhimisho ya ACT ya Siku ya Vijana Duniani, leo 12/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8 Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dada anayefanya biashara ya kuuza majeneza Mwanza, asimulia siku ya kwanza kufanya biashara hiyo alilia sana

    https://www.youtube.com/watch?v=odtsPqmTGP0
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kuzihoji Halmashauri 39 zenye dosari za Ukaguzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Semu: Maridhiano ya kweli, Serikali iwaachie huru wafungwa wa Kisiasa, iruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa wa Oktoba 29

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yasema Wananchi wa Gezaulole (Bagamoyo) waliovunjiwa makazi yao walishindwa kesi Mahakamani

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia vyombo mbalimbali vya Habari imepokea taarifa kuhusu uvunjwaji wa maendeleo ya wananchi takribani 110 wa Kijiji cha Gezaulole Kata ya Makurunge Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Taarifa zinaonesha zoezi hilo limetekelezwa na kampuni ya Nolic...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa uogeleaji

    Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji, makocha na wazazi kupitia programu maalumu iliyoandaliwa na Monti International School. Ujio wa Ben...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania JKCI yajibu hoja kuhusu utendaji wa uongozi wa taasisi hiyo, yasema Sheria, Kanuni na Taratibu vinazingatiwa

    Mmhhhh mna uhakika na mlichokiandika JKCI? Inamaana hao walioleta hoja awali wamezitoa hewani? Taasisi za Serikali sikuhizi mmekuwa na mwendo wa kukanusha tu badala ya kuchukua hatua ku solve changamoto za Watumishi wenu, kumbukeni hao ni watu wazima na wanajua wanachokifanya.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    Mtu aliyejitambulisha kuwa Afisa wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amesikika akitoa tangazo kwa kutumia kipaza sauti katika Soko la Ilala Boma na Karume akiwataka wauzaji wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa na mifuko kuanza rasmi kulipa ushuru kila siku. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Taharuki za Kisiasa na Kijamii zinazojitokeza Tanzania zinaweza kuathirije fursa ya kuwa mwenyeji?

    Tanzania inaelekea kuandika historia kwa kuwa mmoja wa wenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Hii ni fursa kubwa kwa taifa, si tu katika sekta ya michezo bali pia katika uchumi, utalii, biashara na taswira ya nchi kimataifa. Michuano hiyo ni jukwaa linalokusanya mataifa...
Back
Top Bottom