Recent content by Janeth Thomson Mwambije

  1. Janeth Thomson Mwambije

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Vita Ya Kwanza Ya Dunia Ndiyo Ilikuwa Chanzo Cha Kuporomoka Kwa Uchumi wa Dunia (Great Economic Depression Mwaka 1929-1939) Na Hilo Anguko La Uchumi Ndiyo Lilichangia Vita Ya Pili Ya Dunia Sasa Mwaka 2022 Tukiwa Tumetoka Kwenye Janga la Korona Lililotikisa Uchumi, Ilikuja Kutokea Tena Vita Kati...
  2. Janeth Thomson Mwambije

    Utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi, kata ya Kivule (Juni-Disemba 2024)

    Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar Es Salaam, Ili Kuweza Kupitia Taarifa Ya Utekelezaji wa Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Kwenye Kata Ya Kivule Iliyotekelezwa Kwa Muda Wa Juni - Disemba 2024, Kwa Mapato Ya Ndani - Halmashauri Ya Jiji La Dar Es...
  3. Janeth Thomson Mwambije

    Baadhi ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Wilaya ya Ilala

    Miongoni Mwa Mafanikio Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Wilaya Ya Ilala - Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi; Katika Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kumetekelezwa Ilani Ya Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi Inayoendelea Kujengwa Ili Kupunguza Kero Ya Usafiri Kwa Wakazi wa...
  4. Janeth Thomson Mwambije

    Mgomo wa wafanyabiashara nchini

    Ndugu Zangu Wafanyabiashara. Nafahamu Maumivu Yenu. Hakuna Anayefungua Biashara Ili Afunge. Hakuna Anayepambana Ili Afeli. Hakuna Anayejitahidi Kupiga Hatua Ili Arudi Nyuma. Hata Sasa Naamini Mmejitoa Sadaka Kuonesha Hisia Zenu Za Maumivu Na Siyo Kwamba Mmetosheka Na Utafutaji. Maumivu Yenu...
  5. Janeth Thomson Mwambije

    The Youth and the Quest for Unity and Africa’s Second Liberation

    I Had The Opportunity To Participate In The 15th Mwalimu J.K Nyerere Intellectual Festival At The University of Dar Es Salaam Library Auditorium (ULA). The Theme of the Festival Was "The Youth and the Quest for Unity and Africa’s Second Liberation." During This Festival, Which Concludes Today...
  6. Janeth Thomson Mwambije

    Kuendeleza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa...
  7. Janeth Thomson Mwambije

    Maonesho ya kumi ya uvumbuzi

    Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Maonesho Ya Kumi Ya Uvumbuzi, Yanayotambulika Kama, "Innovation for a Competitive Economy", Yaliyoandaliwa Na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP). Kwenye Maonesho Haya, Niliweza Kujifunza Na Kupata Mawazo Ya Kujenga, Pamoja Na Kukutana na Vijana Wenzangu...
  8. Janeth Thomson Mwambije

    Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

    09/Mei/2024 Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni. Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda...
  9. Janeth Thomson Mwambije

    Matembezi kwenye kata ya kivule

    07. 05. 2024 Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Afisa Mtendaji wa Kata Ya Kivule, Ili Kujua Mipango Ya Maendeleo Inayoendelea Kwenye Kata Ya Kivule, Pamoja Na Mipango Waliyonayo Katika Utatuaji wa Changamoto, Kwenye Kata Ya Kivule. Katika Matembezi Haya, Niliweza Kujua Mipango Ya Maendeleo...
  10. Janeth Thomson Mwambije

    Matembezi ya kuwatembelea vijana/wananchi wenzangu wa wilaya ya Ilala

    Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala. Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
  11. Janeth Thomson Mwambije

    Heri ya sikukuu ya wafanyakazi, nyongeza za mishahara ni msingi wa mafao Bora

    Kulingana Na Historia Ndogo Kutoka Kwa Walimu Wetu wa Historia... Sikukuu Ya Wafanyakazi Ni Matunda Ya Mapinduzi Yaliyochochewa na Unyonywaji (Excessive Exploitation) Waliopitia Wafanyakazi Wakiwa Kazini, Mfano; Kufanya Kazi Kwa Saa Nyingi Na Kulipwa Kidogo, Kufanya Kazi Katika Mazingira...
  12. Janeth Thomson Mwambije

    Nilitembelea ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala

    Mnamo Siku Ya Jana, Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya Ya Ilala, Mhe. Edward Jonas Mpogolo, Ili Kujua Machache Kuhusu Maendeleo Ya Wilaya Yetu Ya Ilala. Nilifanikiwa Kutambua Uendelezwaji na Uanzishwaji wa Miradi Mbalimbali Ya Wilaya Ya Ilala, Zikiwemo Shule, Vituo Vya Afya...
  13. Janeth Thomson Mwambije

    Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Ulisainiwa Tarehe 22. Aprili. 1964 Na Waasisi, Mwl. Julius K. Nyerere Na Sheikh. Abeid Amani Karume, Na Kupitishwa Na Bunge Tarehe 26. Aprili. 1964. Mnamo Tarehe 27. Aprili.1964, Viongozi wa Nchi Zote Mbili (Mwl. Julius K. Nyerere na Sheik. Abeid Amani Karume)...
  14. Janeth Thomson Mwambije

    Wapinzani wana nia ya kuwagawa wananchi suala la Muungano

    Lengo La Wapinzani Wanaoipinga CCM (Chama Cha Mapinduzi) Ni Kuwapeleka Wananchi, Zanzibar, Kwa Hati Ya Kusafiria (Passport) 🚮 Huku Ni Kuwagawa Wananchi Huku Ni Kupoteza Uhuru wa Wananchi Huku Ni Kuwatesa Wananchi, Hasa Wafanyabiashara Wanaotegemea Kufuata Mizigo Yao Visiwani Pia soma Waziri...
  15. Janeth Thomson Mwambije

    Nichukue nafasi hii kuwakaribisha CCM

    Nichukue Nafasi Hii Kuwakaribisha Wananchi Walio Ndani na Nje Ya Nchi, Kuendelea Kujiunga Na Chama Cha Mapinduzi Kuna Faida Kuwa Chama Cha Mapinduzi… Miongoni Mwa Faida Hizo, Ni; Kukujenga Kuwa Na Uwezo wa Kujiamini Kukusaidia Kuongeza Ujuzi wa Akili na Vitendo, Kuhusu Mambo Mbalimbali...
Back
Top Bottom