Recent content by janeth cute

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje Ku-attach document Jamiiforums ?

    Shukrani Mtamile!!!!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje Ku-attach document Jamiiforums ?

    Ok thanks.....nimepaona Ticha ila simu haiwezi fanya hiyo kitu?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje Ku-attach document Jamiiforums ?

    Hiyo go advanced Mbona siioni IPO kwenye nini mwl
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje Ku-attach document Jamiiforums ?

    Hapo Ukiwa kwenye jf au Ukiwa kwenye ms word? @ mwl Rct
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje Ku-attach document Jamiiforums ?

    Aisee kumbe tumo wengi.....basi mwenye idea juu ya Kuattach document huku jf atujuze basi wajamiiforum@all
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje Ku-attach document Jamiiforums ?

    Msaada jamani. Inawezekana Kuattach document jamii forum? Kama Inawezekana naombeni msaada wenu !
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kucrack word document Ikiwa na password naomba msaada

    Dah Mbona hiyo balaa sana....hata Microsoft wenyewe Hawawezi!!!!!@Resi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kucrack word document Ikiwa na password naomba msaada

    Jamani naombeni msaada please jinsi ya kufungua document ya word encrypted by password
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kucrack word document Ikiwa na password naomba msaada

    Jamani wanajamii forum naombeni msaada namna ya Ku crack word document iliyo na password. Kwa yeyote anaejua namna ya kuondoa password naombeni mnisaidie... by janeth cute to all jf members
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kucrack word document Ikiwa na password naomba msaada

    Jamani naulizeni namna ya kuondoa password ya document ya word. Niliweka password na nimeisahau ......mwenye kuweza jinsi ya kucrack anisaidie wanajamii forums
  11. J

    JamiiForums Tanzania Download free JF application for Android

    Nina shida wanajamii forum
Back
Top Bottom