Recent content by janerosw

  1. J

    JamiiForums Tanzania CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Mie naona kama umetumwa kuharibia benki ya CRDB. Mtoa mada kama kweli Ana tatizo genuine angelezea tatizo Ila ameingiza issue personal na hii inaonyesha kaja kuharibu taswira ya jamiiforum. Kwani hapa jukwaani tuna discuss issues mbali mbali! Ukiangalia ukweli CRDB ndio inaongoza kwa ubunifu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CRDB Simbanking

    Wewe umefanya muamala lini?Mie pesa yangu ilikwama na ndani ya masaa 24 pesa iliingia!tembelea page zao utapata msaada wa haraka zaidi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    tangazo hili kweli litoke tu!kwani halileti taswira nzuri kwa mabenki mengine ambayo ni mengi na yote yanasaidia kukuza uchumi wa nchi na yanachangia kwa kiasi kikubwa pato la serikali!naunga hoja tu tangazo liondolewe! Hili tangazo linaondoa ushindani kwa mabenki!ukizingatia mabenki yote...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Kweli tutafika?muda wa kufanya kazi kwa bidii na sio kuanzisha majungu 24/7!Tuache majungu tupige kazi kwa bidii na sio kutumia watu nyuma ya mgongo kuchafua benki nyingine!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Tukiendelea kutumia mda wetu kufanya watu waamini upuuzi soon tutakuwa wapuuzi. Huwezi kuhoji CRDB kushinda tenda. Na juzi kati umethibitishiwa ni benki bora Afrika na hakuna benki yoyote Tanzania ilowahi kupata hio tuzo but CRDB. so from which angle wasishinde tenda? try to be logical japo kwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Hii ni kuhujumu uchumi. Mnataka Na benki kubwa kama CRDB kuivuruga. Duuh sijui tutafika wapi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Bank ya Crdb ni benki kubwa sana na yenye mtando mpana wanao mawakala wao kila kona na matawini yanayo tembea na wanakopesha kwenye kilimo mikopo mikubwa. Wanastahili sana kutunza hela na kusambaza hela ya selikali!sasa iweje leo mpinge bila sababu?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Nafikiri hii ni kampeni inatengenezwa. Ngoja tuendelee kuangalia episode zinazofuata!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Muda umefika tuwe Muda umefika sasa tusiwaze kiumimi, CRDB Benki kupata tenda tu ni shida? Hii Benki inafanya mangapi kwa watanzania wa hali zote? Au unataka kila kitu kiende kwa wazungu tu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    . Kwa nini hamuulizi kuhusu NMB?Fanyeni kazi. Majungu hayajengi nchi!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

    H Hii habari haina ukweli wowote na inapotosha jamii!gazeti kubwa kama hili kuandika vichwa vya habari vya kuvutia wateja inasikitisha!Muda ufike tutafute na tuandike taarifa za kweli zinazoendanqr na habari kamili!Tutoe taarifa sahii na dr kimei hajaongelea hayo yote mliyoandika!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Miamala inapogeuka kuwa kero

    Dah yaani nmb ndo inachosha mno hakuna sehemu moja ya kuweza peleka tatizo na likatatuliwa!yaaani miamala ikikwama tegemea mwezi!ukipiga simu kama umepata tatizo mida ya usiku ni shida mno kupata kituo cha huduma kwa wateja!jamani nmb bank tuelimishane tupeleke wapi kero zetu?huduma ni mbovu na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    sio wewe tu ndugu yangu huduma ni mbovu mnoooooo!yaani mie mpaka leo siijui hiyo nmb mobile!kadi yenyewe natumia kwa ATM zao tu!nikisema nitoe bank nyingine inakataaa!ukipiga kituo cha huduma kwa wateja ndio sahau!sijui mwisho sa kumi na mbili jioni tu!shida na kero!yaani naona nisepe zangu mana...
Back
Top Bottom