Recent content by Jane Mutagurwa

  1. J

    FANYA HIVI UKITAKA KUPUNGUZA TUMBO AU KITAMBI KWA WANAWAKE

    IDADI KUBWA YA WANAWAKE INAZIDI KUONGEZEKA WENYE UMRI WA MIAKA 35 HADI 55 KUONEKANA WANA MATUMBO MAKUBWA AU KITAMBI.SABABU YAKE SIYO MIMBA BALI NIMLUNDIKANO WA MAFUTA KATIKA TUMBO INAYOTOKANA NA STYLE YA MAISHA WANAYOISHI.MFANOWANAWAKE WENGI WANAPENDA KULA WALI KILA SIKU,KULA UGALI WA SEMBE,KULA...
  2. J

    Mambo matatu ya msingi ya kuzingatia kuweka akilini unapotafuta urembo

    Urembo wa asili unapendwa sana duniani kwani upendezesha ngozi na kukufanya uwe na mvuto. Kazi ya asali usoni imeongeza matumizi makubwa kwa wanawake katika kutafuta urembo Chukua asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha paka usoni kaa nayo kwa dakika 15 hadi20 kisha safisha uso wako
  3. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    ASALI yatajwa kuwa chaguo la kwanza kutibu kikohozi.Utafiti unaonyesha kuwa asilimia 80% ya watumiaji na walaji wa asali huitumia wakiamini inasaidia kujikinga na kutibu baadhi ya maradhi
  4. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    Unaweza tumia Asali ,ndimu na maji ya uvuguvugu asubuhi sana kabla hujala kitu chemsha maji yaache yapoe,chukua asali vijiko 2 vikubwa vya chakula weka ndimu kijiko 1 cha chai kisha changanya na maji yako yale ya vuguvugu uilyochemsha kisha kunywa. Faida zake utapungua uzito utaupamwili joto...
  5. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    ASALI mbichi inafaa zaidi kwa tiba. Ina fanya kazi ya kuponya maradhi mengi mno,inaongeza sana damu. Ili tumbo lifanye kazi yake vizuri jizoeze kula asali,kijiko kimoja kila asubuhi kabla hujala chochote.Pia. Kipande cha mkate,maziwa na asdali ni mlo kamili.
  6. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    HABARI Bidhaa unayohitaji iko sokoni.Tunayo asali mbichi ya nyuki wakubwa inayotokana na miti ya mihale na miguu. Unaweza kununua kwa sasa kama utalipa kwa airtel money shs10,000 kwa kg 1 kwa bei ya jumla. Je nini unatakiwa kufanya? ni kuelezea wapi ulipo pamoja na anuani kamili nasi...
  7. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    Ofa inaendelea
  8. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    Mwaka 2018 uwe wa mafanikio kwako ukupe neema ya kula asali katika familia yako Hata kama hutoweza kula asali kila siku basi walau kila wiki upate matumizi ya asali mara 2 ili uweze kuongeza kinga yako ya mwili mara 3 zaidi ikiwa utatumia asali mara kwa mara .Kutumia asali si kazingumu bali ni...
  9. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    Unawezaje kutibu madhara ya jua kwenye uso wako? Mpenzi msomaji wa JamiiForums,Unangoja nini hebu chukua hatua yakufanya yafuatayo; chukua asali MBICHI kijiko kikubwa cha chakula,changanya na maziwa ya unga kijiko 1kikubwa cha chakula ,weka na juisi ya limau kijiko1kikubwa pamoja na mafuta ya...
  10. J

    Afisa masoko/mauzo wenye elimu kiwango cha Certificate wanahitajika Shinyanga Mjini

    Habari Wanajamii, NASHUKUKU SANA MAONI YENU, ambayo kwa pamoja yatasaidia upatikanaji wa maafisa masoko e-mail yangu ni jmutagurwa@yahoo.com
  11. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    Kumbuka mwanzo ni mgumu KUAMINI naomba ondoa shaka anza sasa kutumia asali
  12. J

    Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

    Bahati mbaya hakuna camera hata moja iliyoripotiwa kutengenezwa na mwafrika
Back
Top Bottom