Recent content by JAndengenie

  1. J

    JamiiForums Tanzania Niliiba mume wa rafiki yangu, alichonifanya siwezi sahau

    Kama umekiri ulifanya kosa na kutubu,, jua hata mungu amepokea tubu yako na ndio maana ulipona na kuwa mzima wa afya, zidi kuomba mungu kuna siku utakutana na rafiki yako na kuomba msamaha mbele yake pia atakuelewa na kukusamehe.. ama hakika mungu ni mwema mbele yako
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hatua za kuachana na mume wa ndoa

    hakika ushauli huu nimeupenda na ewe uliotoa ushauri eeeehhhhh mwenyezi mungu akubariki na abariki fikra zako daima..... sikia dada unaetaka ushauri,, jaribu kumuomba mungu ainisulu ndoa yako na pia jaribu kuchukua hatua kwa kuchunguza tatizo la ndoa yako na chanzo ili uweze kupambana na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

    haaaa haaaaaa aaaahhhhh hapo umetoa somo mkuuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Anampenda sana lakini kajawa na dharau na kiburi na ni mlevi wa kupindukia

    Kuna dada mmoja kampenda sana rafiki yangu lakini kajawa na kiburi pamoja na dharau, mbaya zaidi ni mlevi wa kupindukia.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Baba na dada na mama na kaka!!!!!!! Inatisha na kuleta kinyaa!!!!!!!!

    hiyo ni sodoma na gomora sasa..... eeeeeeehhhhh mwenyezi mungu okoa icho kizazi
Back
Top Bottom