Recent content by Jan-Capri

  1. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    Toa proof ya hili.. Unaelewa kushushwa kwa Q'uran? Jibreel aliileta as a message from the higher place.. Sio kitabu au gazette, goofy 🤣
  2. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Una onyesha kutoelewa unachosema. Huna point zaidi ya kutwist words kama baadhi ya viongozi wa dini mitaji. Huelewi lugha ya Q'uran, unachofanya hakina mantiki yeyote. Bisha utakavyo, huujui UISLAM. Alhamdulillah!
  3. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Really.. Don't twist the word of Almighty... Hii Aya inasema hivi kwa wale wenye upeo... "waambie kuwa yule aliyekuwa ni adui wa Gabriel (Jibreel) (ajue kwamba) Mwenyezi Mungu ameiteremsha (Qur’ani) moyoni wako (kwa maana Mtume) kupitia Jibreel kwa idhini yake Muumba wa mbinguni na Dunia na pia...
  4. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Jibreel, Jibreel, Gabriel and more Gabriel alileta ujumbe, kila kitu kilikuja kuandikwa many years later, kama vitabu vilivyo pita, kwenye stone tablets, magogo ya miti, ngozi za wanyama, kwenye vipande vigumu vya nguo Enzi hizo then karatasi finally just like Torah, Psalms, Bible then Q'uran...
  5. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Yaani, Google inaweza kukusaidia mara elfu, maana uwaulizao ni vipofu wa kuona na kuchambua na viziwi wa kusikia.. Means, unataka hoja 8toke humu? Wengi hawana idea hata kidogo kuhusiana na Q'uran au question yako ilikuwa ni kuanzisha kelele humu ndani?
  6. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Una sound unintelligent being kwa kweli.
  7. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Lol.. Hii ni metaphorically speaking kwamba "NENO" limeshushwa kutoka mbinguni kupitia the Majestic being a.k.a. Jibreel.
  8. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata nguvu za kiroho

    Mwafrika!
  9. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

    Na watoto wamekula, wako safe? Wewe una afya, wazazi na mke wapo OK? That's all... Achana na vitu vya anga bhana😂
  10. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Shibetoshi Nakamoto ni nani?

    Satoshi Nakamoto ndio inverter ila Shibetoshi Nakamoto ni imposter
  11. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Shibetoshi Nakamoto ni nani?

  12. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    Ages after ages, kufunga kulitambulishwa na mitume wote na hata Nabii Issa(A.S) alikuwa AKIFUNGA na haikuitwa Ramadan ilikuwa inatbulika kama observance kuwa karibu na Muumba wako. Tambua hilo.
  13. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    Wrong idea... Waovu wako katika kila walk of life not only in Islam au wafuasi wake... Bible Ina history ya wafuasi makatili na wanafiki. Byzantine, knights, Roman Empire and its continuation the Byzantine Empire, the Russian Empire, the Spanish Empire, the British Empire, the Portuguese Empire...
  14. Jan-Capri

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Bull crapola... Kiaje ufanye hivyo? Basi si usingemuoa tangiapo utafute au msubirie uliyempenda kwa dhati. Unataka kuoa msukule? Ukutumikie kuanzia A2Z ila akichoka vitimbwi yako eti aondoke mikono mitupu? Wanawake wa zamani hao au wavivu... Mwanamke haswa wa karne hii hakusubirii wewe au...
Back
Top Bottom