Recent content by Jamwambo

  1. Jamwambo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

    Kuna watu naona wanaongea vitu hovyo bila ushauri wowote Binafsi nakushukuru kwa kulijua hio changamoto mapema mimi naweza kukuita mzazi bora maana kufatilia maendeleo na afya ya mtoto ni jukumu lako Pili nakupongeza kuchukua hatua za haraka na malamoja kumnusuru kijana Mwisho nawaambia...
  2. Jamwambo

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hii DUNIA inawatu makatili aisee Kumbe sio roma Romani pekeake wengine hawana majina ila wapo
  3. Jamwambo

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kutokana na jeuri yenu ya kumhukum kwa sababu ya kutaja siku sasa hajaweka siku tukose pa kumshikia
  4. Jamwambo

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Uzuri akileta mzigo unakuwa wa maana lazima usome siku tatu na zaidi
  5. Jamwambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kuna mambo Mengi sana ya kujifunza ikiwa hujapata lolote wewe sio chochote yaani Ni empty mind
  6. Jamwambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwa hiyo na wewe ulikuwa umekaa chonjo kusubiri mwenzio aliwe Nikajua unaombea asiliwe 🤣🤣🤣🤣
  7. Jamwambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Umemkawiza sana huyu manzi. Ilikuwa aliwe ile siku umemrudisha kajifanya amelewa
Back
Top Bottom