Recent content by Jamiitrailer

  1. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Je ni Sawa Kutatiza Ajira kwa Kuwafurusha Maelfu ya Machinga Kariakoo Kwa Maslahi ya Kodi kubwa za Wachache? Nyerere na Magufuli Walikataa Hii Dhana.

    Utaweza kuwapanga maelfu ya wamachinga unaowazalisha kila mwaka Kariakoo? Kuqapanga machinga Kariakoo kutatibu tatizo la kuiachia dollar iende China kila siku kwa kuwaacha wachuzi wakubwa(machinga wakubwa) kuendelea kuagiza bidhaa? Kwa kuwapanga wamachinga kariakoo bila kuchukua hatua ya kuweka...
  2. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Je ni Sawa Kutatiza Ajira kwa Kuwafurusha Maelfu ya Machinga Kariakoo Kwa Maslahi ya Kodi kubwa za Wachache? Nyerere na Magufuli Walikataa Hii Dhana.

    Choicevaribles, kabla sijajadili mada tunatakiwa tuwekane sawa na kukubaliana kwamba uwepo wa machinga kwa namna wanavyofanya shughuli zao wanasababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi na kwa serikali yenyewe. Uwepo wa machinga,chanzo chake ni ukosefu wa ajira. Vijana wakaanza kujihusisha...
  3. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Why Sitting Presidents Are Mourning A Private Citizen: The Power of Tenderpreneurship

    This photo that depicts this shady individual named Wicknell Chivayo in casual clothings,concentrating on his phone instead of holding his eyes on his host president Samia.,does a million of talkings......, It is as if he was taking her at arm's length, ...and absolutely nonchalant about her...
  4. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Suala Paschal, siyo jukumu la waziri na serikali kuboresha maisha ya watu kiroho ili kuifikia pepo. Msikiti ni sehemu ya kufanya ibada ili kuwaweka waislam sawa kiroho. Jukumu la ujenzi wa msikiti ni la waumini,...wazo la ujenzi linaanzishwa na kukamilishwa na waumini wenyewe kupitia vyanzo...
  5. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Uko sahihi 100% Yote ambayo Mkapa aliyaita makosa yake, akiwa madarakani aliyanya kwa mkusudi. Mkapa aliposema alitikiswa na kashfa ya radar,na kwamba eti alidanganywa na wizara ya ulinzi, wengi tulijua anadanganya kwa sababu waziri wa UK wa masuala ya Afrika Bi Lyinda Chalker alifanya safari...
  6. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Hii asali anayolamba Balile ni asali mbichi ya Tabora? Sio kwa kutetea huku!

    Uko sahihi.... Kozi yake ya Business management kule Hull,UK iligharimiwa na Rostam. Na Balile mwenyewe hakuwahi kuficha hilo. Siku zote Balile anatetea serikali na kikundi kinachotawala nchi.... ,hata kwa kutoa hoja za kijinga
  7. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikikuta uchafu mbele ya duka lako utalala selo kwa saa 48

    Ukiacha hilo la Chalamila kutenda baada ya rais kusema.... Yeye RC alitaka uchafu unaokusanywa na maduka uwekwe wapi kama siyo nje ya duka husika? Alitaka wenye maduka wahifadhi ndani uchafu wanaozalisha badala ya kuweka nje ? Kama uchafu uliowekwa nje hauzolewi na gari za taka,hilo siyo tatizo...
  8. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Mabomba yote ya gesi ambayo yamekuwa connected kwa matumizi majumbani katika nchi za ulaya ni methane,ambayo ndiyo itakuwa zao kuu katka hiyo project ya Lindi. Sijajua mpango wa kusambaza mamba ya gesi maeneo ya Osterbay na Mikocheni,TPFC walimaamisha kusambaza gesi ya aina gani. Itakuwa ni...
  9. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kinachosikitisha ni kwamba ni kweli wana hela lakini hawana biashara yoyote inayoendana na kiasi cha fedha wanayoimiliki. Na pia, kitengo cha fedha uchunguzi wa fedha haramu kinajifanya hakioni.....
  10. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Neno Zazwa ni Sawa na Zuzu?. Kukiukwa kwa Katiba ya JMT Huku Tumenyamaza, Je Sisi Watanzania ni Mazwazwa na Mazuzu?.

    Paschal,umeandika kwa kirefu... Umezungumzia Watanzania kuwa mazuzu au mazwazwa kwa kukaa kimya huku katiba ikipindishwa. kwa wananchi wa kawaida walio wengi siyo mazuzu wala mazwazwa kwa sababu ni kitambo hawaitaki katiba iliyopo ambayo unasema inapindishwa na watawala kwa maslahi yao....kwa...
  11. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Serikal itenge budget ya trillion 2 na zaidi kwa ajili ya kununua squatter mfano Manzese, Kigogo n.k ili kuziboresha

    Hata kama anayetakiwa kujenga ni kampuni,lazima ajenge eneo lilofanyiwa planning na serikali. Hiyo Manzese, Tandale na Keko,chanzo chake ni kutopima maeneo. Hata kama mjenzi ni mtu binafsi,endapo ujenzi utafanwa katika eneo lililopimwa,ujenzi hauwezi kuwa holela. Tatizo lilianzia pale wahusika...
  12. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Serikal itenge budget ya trillion 2 na zaidi kwa ajili ya kununua squatter mfano Manzese, Kigogo n.k ili kuziboresha

    Hoja nzuri... Hata hivyo serikali ilitakiwa itenge fedha kwanza kuzuia kuzaliwa Manzese,Tandale na Keko mpya katika kila mikoa kwa kuchukua hatua ya kupima ardhi na kugawa viwanja kiutartibu. Kila wilaya kuna ofisi ya ardhi na watendaji na vifaa vyao,lakini kila katika kila wilaya Tanzania kuna...
  13. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

    Yuko sahihi kukataa wito huo kwa vile hauko kisheria. Waziri kalewa madaraka
  14. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

    Ndivyo ilivyo...,waziri yake ni hayo ya kisera tu...,suala la kuchunguza matukio ya kihalifu ni ya polisi..,na kufikisha watuhumiwa mahakamni ni suala la mwendesha mshtaka wa serikali. Tatizo letu wanazania ni kulewa madaraka na taasisi kutofanya kazi kwa mujibu wa sheria. Mathalan,kwa swala...
  15. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

    Kwa mujibu wa Katiba na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka ya kikatiba wala ya kisheria kuamuru polisi kumkamata mtu na kumweka rumande. Nafasi ya Waziri: Waziri wa Mambo ya Ndani ni mtendaji wa kisiasa na mkuu wa kisiasa wa wizara hiyo, lakini...
Back
Top Bottom