Wakuu,
Dunia ya sasa ipo kiganjani mwako, lakini je, kila unachokisoma au kusikia ni cha kweli?
Shiriki nasi katika Mjadala wa "Mchakato wa Kuhakiki Taarifa Kwenye Vyombo vya Habari, Unaendana na Kasi ya Kuenea kwa Taarifa Potoshi" kupitia Instagram Live ya JamiiForums.
Mjadala huu...
Kuna filamu ya Kikorea ya mwaka 2023, iitwayo Unlocked, inayotoa funzo kubwa kuhusu usalama wa kidijitali na hatari za uhalifu wa mtandaoni.
Filamu inamuhusu Nami, aliyempelekea fundi simu yake kwa matengenezo. Kama wafanyavyo mafundi wengi, aliichukua simu na Kwenda nayo nyuma, ambako Wateja...
Katika mazingira yenye ushindani wa kisiasa, kijamii na kibiashara, waandishi wa habari wanakumbwa na changamoto kama shinikizo kutoka kwa wenye mamlaka, upendeleo wa vyombo au wahariri na ushawishi kutoka kwa wafadhili au wamiliki wa vyombo vya habari
Katika yote haya, ukweli na haki ya...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, mjadala kuhusu Marekebisho ya Mfumo wa Uchaguzi (Reforms) haukwepeki. Kuna wanaosema reforms tayari zimefanyika, huku wengine vikisema bado kuna kasoro na wengine wakisema hawatashiriki Uchaguzi hadi kasoro hizo zishughulikiwe
Maswali muhimu ni je, 'Reforms'...
Kadiri Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) inavyoendelea kukua kwa kasi katika maisha yetu ya kila siku, sekta ya Habari nayo haijaachwa nyuma. AI inabadilisha namna tunavyokusanya, kuchakata na kusambaza taarifa. Lakini je, inaathiri vipi Uhuru wa kujieleza? Inasaidia au inahatarisha Uadilifu wa...
Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127
Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na...
Jiunge nasi sasa katika mjadala wa Tathmini ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Changamoto na Maboresho, ambapo unaweza kushiriki uzoefu wako, kutoa maoni, na kupendekeza maboresho kwa zoezi lijalo, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya: https://jamii.app/SpaceMarch22...
Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi unaotanguliza maslahi binafsi badala ya sera zinazowanufaisha wananchi wote, hivyo kudhoofisha maendeleo ya...
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa 'kesho' ya Nchi yetu.
Washiriki...
Ni muhimu Mtumiaji wa Huduma za Mawasiliano ya simu kuhakikisha anachukua tahadhari wakati wa usajili wa laini yake ya simu kwa Wakala kwa kuhakikisha Mtoa huduma ya kusajili na kuhakiki, anasajili namba husika tu.
Miongoni mwa mambo ya kuzingatia wakati wa usajili wa laini ya simu kwa alama ya...
Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi. Je ni rushwa? Wananchi wanatofautishaje?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na TCRA, Desemba 2024, idadi ya akaunti za pesa mtandao ambazo zilitumika angalau mara moja katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita iliongezeka kutoka akaunti milioni 60.8 katika robo ya mwaka iliyoishia Septemba 2024 hadi milioni 63.2...
Kwa mujibu wa ripoti ya Takwimu za Mawasiliano ya TCRA iliyotoka Desemba 20204, inaonesha kuwa idadi ya utumiaji wa Intaneti imeongezeka kwa 16% kutoka milioni 41.4 kwa robo ya mwaka iliyoishia Septemba 2024 hadi milioni 48 kwa robo ya mwaka iliyoishia Disemba 2024.
Huduma ya intaneti inatolewa...
Wakuu,
Tunapoukaribia Uchaguzi Mkuu 2025, ni muhimu kutathmini changamoto za chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kushirikiana katika kutafuta suluhisho
Jiunge nasi kwenye mjadala maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums tarehe 30 Januari 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku.
Shiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.